imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Wewe umejuaje kuwa hatulipi kodi?hulipi Kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe umejuaje kuwa hatulipi kodi?hulipi Kodi
Kama unaona mwigu Hana hadhi ya kuongoza ukoo wenu iweje atoshe Kwa Tanzania nafasi ya uwaziri?Wivu tu , msonyooo amefanya kosa gani ameua? Ni mwanadamu Anajisahau amezungukwa na wenye aKili ndogo anatakiwa abadilike sio kutolewa
Wewe ndio utajenga uchumi wa Nchi na kutulisha watanzania nikimpleka Kua kiongozi wa ukoo wetu
Tangu Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kuzungumzia suala Tozo la miamala naona kampeni kubwa inafanyika ndani ya CCM kutaka kumfukuza uwaziri Dk. Mwigulu Lameck Nchemba kwa kile kinachoonekana kusababisha matatizo makubwa kwa wananchi.
Kwanini iwe Mwigulu Nchemba peke yake, Je ni kweli katika Serikali hii ni Waziri Mwigulu pekee aliyefanya mambo mabaya na kusababisha wananchi kupata shida? Kwanini wengine hawatajwi kuna nini?
Kwanini Januari Makamba hatajwi?
Kwanini Hussein Bashe hatajwi?
Kwanini Nape Nnauye hatajwi?
Auhao Wizara wanaziziongoza hazijawakosea watanz
Ukaskazini hatuutaki. Dr. nchemba ndio waziri na ndio nguzo ya uchumi wa tanzania kwa sasaKama unaona mwigu Hana hadhi ya kuongoza ukoo wenu iweje atoshe Kwa Tanzania nafasi ya uwaziri?
Charles KIMEI au Dr Assad watatuvusha ktk wizara hiyo. Watamshauri vizuri kiongozi wetu.
Ameeeen