Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Ubovu wa katiba.Katiba ndio inasema hivyo mkuu
KATIBA haina Mbunge aliyepita bila Kupingwa na pia Haina Mbunge Asiyepitia kwenye Chama cha Siasa la Bunge la Awamu ya 5 lina hayo MAMBOKatiba ndio inasema hivyo mkuu
Ukituonesha hiyo ibara kwenye hii katiba utakuwa umetusaidia wengi ktk kujua hili jambo na tuweze juwa kuwa lini lilibadirishwa kutoka kuwa kupigiwa kura kwa mgombea mmoja enzi za JKN na mpaka kugeuzwa kuwa kupita bila kupingwaKatiba ndio inasema hivyo mkuu
Utaratibu ni kuvuka 50% ya kura zilizopigwa.Hizo kura zilikuwa na maana gani?
Tena leo lazima unyofolewe viongo vya mwlini mwakao linaweza likwa jicho ama vinginevyo ,fomu za wagombewa kuporwa na kuumizwa
Utaratibu ni kuvuka 50% ya kura zilizopigwa.