Kwanini Mzee Kikwete hakumteua Luteni Jenerali Gideon Sayore kuwa Mkuu wa Majeshi?

Hata Mimi nlishangaa
 
Na Mkuu wa Majeshi Sasa huwa na utendaji gani jeshini
Kwa kawaida katika majeshi mengi duniani Mkuu wa majeshi primary responsibility ni ku command jeshi.

Pia Mkuu wa Jeshi la Ulinzi pia ndiye mshauri mkuu wa kijeshi na hutoa ushauri juu ya mambo yanayohusiana na shughuli za kijeshi, pamoja na operesheni za kijeshi.

Na mengi zaidi kwendana na nchi husika.
 
Kama kuna mtu anayeweza kufuatilia hii; kuna sababu nyingine inahusiana na Zanzibar inasemekana alitoa adhabu kali kwa askari na rais alimrudisha bara
 
Watu walikuwa wanajua leadership sana mzee,
 
Yeye na bosi wake walistaafu pamoja,nakumbuka vizuri sana hadi Mboma alimtania Sayore kwamba baada ya kustaafu asiende kuwa mwizi wa ng'ombe.
Hata hivyo walistaafu kipindi cha Mkapa na Mkapa akamteua Gen.Waitara kuwa CDF mpya.
 
Hii story niliisikiaga wakati tupo watoto sana pale TMA. Enzi hizo inaitwa CTU
 
Yeye na bosi wake walistaafu pamoja,nakumbuka vizuri sana hadi Mboma alimtania Sayore kwamba baada ya kustaafu asiende kuwa mwizi wa ng'ombe.
Hata hivyo walistaafu kipindi cha Mkapa na Mkapa akamteua Gen.Waitara kuwa CDF mpya.
aaaaaaaaaahhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…