Idd Simba gani amewahi kuwa mufti,mnatengeneza uongo usio na tija kwa sababu ya chuki tu.Umeeleza vyema kabisa, ila hujamalizia kuwa aliendelea na fitina na chokochoko zingine mpaka msikitini, kwa Idd Simba na Mufti wa wakati ule kumsema vibaya Mwl. J.K Nyerere kuwa anawaonea Waislam [emoji23]
Aisee Waswahili wana jau sana