Kwanini Mzee Kikwete ni maarafu sana nje ya nchi hasa kwa Wazungu?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Hakuwa reformist(mwanamageuzi) katika nchi, Sio intellectual au mwanafalsafa kama Nyerere na Kingereza chake ni cha kawaida tu ila wakati wote amekuwa kipenzi cha viongozi wa siasa magharibi, wafadhili matajiri, mashirika na taasisi zao mbalimbali katika shuguli zao nyingi hususani za Africa!

Siri ni nini yeye kukubalika hivi huko nje?

20240919_073743.jpg
 
hahahahaha down town aka Msaigon.

Kuna namna huwa wanaelewana Lugha.

Chanzo cha WW2 ni mtu mmoja kutaka kuleta fikra zake mbele ya kundi fulani lililloamua dunia iishi kwa kufuata mfumo wao.

Mwanachama wa kundi linalotawala dunia gizani, the code of silence is one of the key.
 
Kikwete ndio maana halisi ya kiongozi.
Nadhani hawamtumii vizuri hao wengine wa sasa. Huyu gentleman he is a leader and knows how to play politics. Hakuwahi kuvimba na kujaa povu hata pale alipokabiliana na mambo magumu ya mawazo na fikra za upande wa pili. Najiuliza kama ingekuwa ni jamii ya Kenya ndo iko hapa Tanzania, kweli tungeweza kuwaongoza ? Labda ni Mzee wa Msoga ambaye angeweza Taifa kama hilo maan anajua siasa na uongozi. Kumbe kule jeshini alikokuwa kama Kamisaa ( Mwalimu wa Siasa Jeshini) palimpika vizuri na akaiva. Tatizo la kuwa na Viongozi wa Juu ambao hawajaandaliwa na kupikwa ndilo kama hili. Sijui ule utaratibu wa kupeleka watu Chuo cha Siasa Kigamboni ulioanzishwa na Nyerer uliishia wapi. Tuna tatizo kubwa la kuto andaa na kugroom future Leaders. Ni tatizo pia la nchi nyingi za Kiafrika . M7 juzi alikuwa na Birth day ya 80 na bado hafikirii hata kuachia ngazi. It is paining.
 
Namuona hata E Nchimbi nae yuko vizuri sana
 
Kwanini haelekezi wengine alivyotuliza Nchi kiuongozi hadi kiutawala?
 
Back
Top Bottom