Nadhani hawamtumii vizuri hao wengine wa sasa. Huyu gentleman he is a leader and knows how to play politics. Hakuwahi kuvimba na kujaa povu hata pale alipokabiliana na mambo magumu ya mawazo na fikra za upande wa pili. Najiuliza kama ingekuwa ni jamii ya Kenya ndo iko hapa Tanzania, kweli tungeweza kuwaongoza ? Labda ni Mzee wa Msoga ambaye angeweza Taifa kama hilo maan anajua siasa na uongozi. Kumbe kule jeshini alikokuwa kama Kamisaa ( Mwalimu wa Siasa Jeshini) palimpika vizuri na akaiva. Tatizo la kuwa na Viongozi wa Juu ambao hawajaandaliwa na kupikwa ndilo kama hili. Sijui ule utaratibu wa kupeleka watu Chuo cha Siasa Kigamboni ulioanzishwa na Nyerer uliishia wapi. Tuna tatizo kubwa la kuto andaa na kugroom future Leaders. Ni tatizo pia la nchi nyingi za Kiafrika . M7 juzi alikuwa na Birth day ya 80 na bado hafikirii hata kuachia ngazi. It is paining.Kikwete ndio maana halisi ya kiongozi.
Namuona hata E Nchimbi nae yuko vizuri sanaNadhani hawamtumii vizuri hao wengine wa sasa. Huyu gentleman he is a leader and knows how to play politics. Hakuwahi kuvimba na kujaa povu hata pale alipokabiliana na mambo magumu ya mawazo na fikra za upande wa pili. Najiuliza kama ingekuwa ni jamii ya Kenya ndo iko hapa Tanzania, kweli tungeweza kuwaongoza ? Labda ni Mzee wa Msoga ambaye angeweza Taifa kama hilo maan anajua siasa na uongozi. Kumbe kule jeshini alikokuwa kama Kamisaa ( Mwalimu wa Siasa Jeshini) palimpika vizuri na akaiva. Tatizo la kuwa na Viongozi wa Juu ambao hawajaandaliwa na kupikwa ndilo kama hili. Sijui ule utaratibu wa kupeleka watu Chuo cha Siasa Kigamboni ulioanzishwa na Nyerer uliishia wapi. Tuna tatizo kubwa la kuto andaa na kugroom future Leaders. Ni tatizo pia la nchi nyingi za Kiafrika . M7 juzi alikuwa na Birth day ya 80 na bado hafikirii hata kuachia ngazi. It is paining.