Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Simba ni Mali ya Bi Hindu, Kilomoni ni mwenzi
Mwenza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni Mali ya Bi Hindu, Kilomoni ni mwenzi
Asante mkuu kwa majibuSasa kwani ulitaka nini zaidi ya majibu?
Bila kusahau Bi Hindu na Mzee Kilomoni ndio waliobeba maji na mchanga wa kujengea jengo la makao Makuu,kwa hiyo Bi Hindu na Mzee Kilomoni ndio wenye Simba yao.hicho kiwanja kilikuwa cha mzee mmoja anaitwa Athuman Simba,miaka ile ya mkoloni,sasa babake bi Hindu na babake kilomon walikuwa marafiki na huyu mzee simba,hawa ndo siku moja wakicheza bao waliamua kuanzisha timu,wakaiita sunderland,sasa baadae sana huyu mzee simba akatoa ploy ile ili kujenga jengo la simba na miongoni mwa waliotia saini ni babake hindu na kilomon
hicho kiwanja kilikuwa cha mzee mmoja anaitwa Athuman Simba,miaka ile ya mkoloni,sasa babake bi Hindu na babake kilomon walikuwa marafiki na huyu mzee simba,hawa ndo siku moja wakicheza bao waliamua kuanzisha timu,wakaiita sunderland,sasa baadae sana huyu mzee simba akatoa ploy ile ili kujenga jengo la simba na miongoni mwa waliotia saini ni babake hindu na kilomon
Yanga hata hati hakunaMbumbumbu Sc ni mali ya Mzee Kilomoni.
mzee kilomoni alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya simba kwahiyo mali za simba yeye ndiye aliyekuwa akizisimamia kabla hajaenguliwa na mkutano mkuu wa simba na alikwenda mahakamani kupinga mkutano huo uliomuengua na akashinda kesi kwahiyo moja ya mali za simba ni hiyo hati.Wadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati ya Klabu ya Simba?Pili kwanini Mzee Kilomoni anasema Haitoi kwa Uongozi?Je Klabu ya Simba ni mali ya Mzee Kilomoni?Je Mzee Kilomoni anaidai Klabu ya Simba ndio sababu ya kuishikiria Hati?Na mwisho kama Hati ni ya Klabu ya Simba kwanini iwe kwa mtu binafsi na isiwe Klabuni?
Hili ni swali la msingi. Jibumkuu ungetumia akili japo kidogo kuniuliza swali hilo kama hujui nilichouliza nyamaza
Yanga hata hati hakuna
Yanga hata hati hakuna
Kwani pale umbumbumbuni hakuna ofisi za kuhifadhia hati na Mali nyingine za club hadi ziwe nyumbani kwa Mzee Kilomoni?mzee kilomoni alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya simba kwahiyo mali za simba yeye ndiye aliyekuwa akizisimamia kabla hajaenguliwa na mkutano mkuu wa simba na alikwenda mahakamani kupinga mkutano huo uliomuengua na akashinda kesi kwahiyo moja ya mali za simba ni hiyo hati.
Sawa kwa kuwa haujui aliipataje sasa ilibidi hili ndio liwe swali la kwanza.aliipataje kisha ndio uulize hayo mengine ktk uzzi wakoahaaaa narudia tena sijui alivyoipata ndio maana nikalileta hapa ili anayejua aseme tatizo liko wapi mkuu?
Hati za Yanga za majengo yao yote zipo kwa familia ya karume,wazee wa zamani waliona mbali sana,bila wao hivi vilabu sasa hivi vingekua vishapoteaYanga hata hati hakuna
Mama Karume unamfahamu?Yanga hakuna huo ujinga wa Mali za club kuhifadhiwa na mtu nyumbani kwake.
Mama Karume unamfahamu?