Kwanini Mzee Kilomoni anaishikiria hati ya Simba je ndiye mmiliki au anaidai Simba?

Kwanini Mzee Kilomoni anaishikiria hati ya Simba je ndiye mmiliki au anaidai Simba?

hicho kiwanja kilikuwa cha mzee mmoja anaitwa Athuman Simba,miaka ile ya mkoloni,sasa babake bi Hindu na babake kilomon walikuwa marafiki na huyu mzee simba,hawa ndo siku moja wakicheza bao waliamua kuanzisha timu,wakaiita sunderland,sasa baadae sana huyu mzee simba akatoa ploy ile ili kujenga jengo la simba na miongoni mwa waliotia saini ni babake hindu na kilomon
 
Bila kusahau Bi Hindu na Mzee Kilomoni ndio waliobeba maji na mchanga wa kujengea jengo la makao Makuu,kwa hiyo Bi Hindu na Mzee Kilomoni ndio wenye Simba yao.
 
hicho kiwanja kilikuwa cha mzee mmoja anaitwa Athuman Simba,miaka ile ya mkoloni,sasa babake bi Hindu na babake kilomon walikuwa marafiki na huyu mzee simba,hawa ndo siku moja wakicheza bao waliamua kuanzisha timu,wakaiita sunderland,sasa baadae sana huyu mzee simba akatoa ploy ile ili kujenga jengo la simba na miongoni mwa waliotia saini ni babake hindu na kilomon

Kwahiyo waliobaki ni Bi.Hindu na Mzee Kilomoni, Kifupi hao ndio wenye timu yao.

Mbumbumbu mpo?
 
Wadau nimekuwa nafuatilia sana nyuzi mbalimbali humu juu ya Klabu ya Simba.Pia nimemsikia Mzee Kilomoni akisema anayo Hati Klabu ya Simba na haitoi.Najiuliza kwanini Mzee Kilomoni anakuwa na Hati ya Klabu ya Simba?Pili kwanini Mzee Kilomoni anasema Haitoi kwa Uongozi?Je Klabu ya Simba ni mali ya Mzee Kilomoni?Je Mzee Kilomoni anaidai Klabu ya Simba ndio sababu ya kuishikiria Hati?Na mwisho kama Hati ni ya Klabu ya Simba kwanini iwe kwa mtu binafsi na isiwe Klabuni?
mzee kilomoni alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya simba kwahiyo mali za simba yeye ndiye aliyekuwa akizisimamia kabla hajaenguliwa na mkutano mkuu wa simba na alikwenda mahakamani kupinga mkutano huo uliomuengua na akashinda kesi kwahiyo moja ya mali za simba ni hiyo hati.
 
Kwani pale umbumbumbuni hakuna ofisi za kuhifadhia hati na Mali nyingine za club hadi ziwe nyumbani kwa Mzee Kilomoni?
 
Hivi kama kweli yeye Mo anajiitaga sijui biznessman man billionaire kijana hapa Tz kwanini asijenge uwanja wa simba mpya,makao makuu ya Simba mapya aachane na migogoro na hao wazee wa Simba?

Unless otherwise hakuja Simba kuwekeza ila alikuja kuchuma tu.

Mzee mwenye hati komalia hapo hapo.
 
Sisi ngozi nyeusi tuna roho mbaya na wivu wa kijinga sana, wengi wanaopinga udhamini wa Mo simba hawana point ya maaana, uwekezaji wa mpira ni kama baishara nyingine, manataka MO apate hasara au faida? Pili hao wazee wanao uwezo wa kuwekeza simba au kutafuta muwekezaji mwenyewe moyo, nguvu na motisha kama Mo Dewji?

Sawa labda kuna taratibu hazikwenda sawa, kwa nini wasikae pamoja na kuzitatua? Zaidi hawa wazee mana mchango gani kwenye mpira wa kisasa wenye ushandani mkubwa na pesa nyingi?

Haya mambo sijui ya wazee wa timu sijui nani ndio yanafanya vilabu vyetu na timu ya taifa tunakwama kabisa.

Huyu mzee anaweza baki nayo hiyo Hati kama na simba ikaendela na mashabiki tukafarahi.
Mwisho, haww wazee wakekosa sehemu ya kula kama zamani, hakuna pesa ya mwindi inatoka kifala kama wanavyodhani wanafikiri Mo atawaita chemba awape mpunga wakutosha ndio watoe?

Bora achane na simba kuliko kuwaonga awachie tuone what next..
 
Back
Top Bottom