Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu ya kesi ya uhaini ya kifo cha jpm ndiyo inayo msumbua ...ila atapata tabu sana kama ccm wanafikili watanganyika tupo tayari kuongozwa na mzanzibar tena mpuuzi.Mbona kama Dr Samia na wasi wasi sana? Anamwogopa nani?
Membe hayupo waliobaki woote ni Chawa wake tu.
Full metal jack movie hii nilipenda miaka ileFULL METAL JACKET
Yeah JPM alikataza pia so ni precedence inafuatwa, in fact Bashiru Ali print Fomu moja pekee na akasema unayetaka kugombea kamuombe JPM akupigie copy stationery!!Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili.
Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024 wakati uchaguzi unatarajiwa kufanyika 2025. Kulikuwa na umuhimu wakuanza kuweka vikwazo kwa wenye nia ya kugombea miaka miwili kabla ya siku ya uchaguzi?
Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa?
Tuletee ushahidi hapa tukuaminiHofu ya kesi ya uhaini ya kifo cha jpm ndiyo inayo msumbua ...ila atapata tabu sana kama ccm wanafikili watanganyika tupo tayari kuongozwa na mzanzibar tena mpuuzi.
Samia ni rais bora sanaSamia no dikiteta anayejificha kwenye 4R wakati anatumikia 4U yani utapeli,ulaghai, upuuzi na ujinga.