Pre GE2025 Kwanini Mzee Kinana amewapiga stop wagombea Urais ndani ya CCM miaka miwili kabla ya kufika tarehe ya Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbona kama Dr Samia na wasi wasi sana? Anamwogopa nani?

Membe hayupo waliobaki woote ni Chawa wake tu.
Hofu ya kesi ya uhaini ya kifo cha jpm ndiyo inayo msumbua ...ila atapata tabu sana kama ccm wanafikili watanganyika tupo tayari kuongozwa na mzanzibar tena mpuuzi.
 
Kwasababu aliyepo hajamaliza vipindi vyake,lakini pia anatosha kabisa.

2025 tunaenda na Samia.
 
Yeah JPM alikataza pia so ni precedence inafuatwa, in fact Bashiru Ali print Fomu moja pekee na akasema unayetaka kugombea kamuombe JPM akupigie copy stationery!!
 
Hofu ya kesi ya uhaini ya kifo cha jpm ndiyo inayo msumbua ...ila atapata tabu sana kama ccm wanafikili watanganyika tupo tayari kuongozwa na mzanzibar tena mpuuzi.
Tuletee ushahidi hapa tukuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…