Mkuu why diamond not ali kiba na wengine wote si waislam.
Ndugu yangu kila mtu kesho atabeba mzigo wake, ye mzee yusuphu kaamua amrudie mola wake, suma lee na wengineo wengi! Sasa diamond na wenzao yawezekana muda bado, ama nafsi nzito..
Muziki ni haramu ni haramu tu, hata aimbe nani.
Nimeona umesema nicky minaji, kupiga mziki arabuni, kwan mwarabu ni nani hasa!!? Hii dini sio ya waarabu, waka sio dini ya wasaudia pekee yao, hii ni dini ya allah, hakuanza Muhammad kuwa muislam, toka kina adam, swalehe, nuhu, daudi, lut ibrahim, suleymani, yusufu, mussa, issa bin mariam Muhammad (rehma za allah ziwe juu yao)
Kifupi allah alikuwa akipeleka nabii kwa watu ambao walikuwa wakipotea, ili kuwakumbusha na ndio maana ilikuwa kutoka nabii mmoja mpaka mwingine ilikuwa muda mrefu mpaka ikitokea watu kujisahau, mpaka allah alipoamua Muhammad kuwa wa mwisho, maana kazi ya kuleta dini aliikamilisha, kazi ndogo ya kukumbushana imebaki sisi wenyewe!! Tunaambiwa kumbusha maana ukumbusho utawafaa wenye kuamini.. si kilichobaki ni kukumbushana tu, cz nobody is perfect isipokuwa mwenyewe Allah tu, sasa akikumbushwa mtu akiwa mbishi haya, tayari anakuwa si mwenye kuamini..
Usishangae waarabu kuwa washenzi, waarabu ni washenzi tena saana tu, ndio maana mitume mingi ilikuwa huko jombaa!!
So hao waarabu msiwaone kama wao ndio dini ama kiigizo chema kwetu waislam! Kiigizo chema Muhammad ameshetangulia huko!!
Hakika allah anajua kuliko mimi, nimejaribu kukueleza kwa ufupi tu.
Tujitahidi kusoma kupata manufaa inshallah.