dvj nasmiletz
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 2,079
- 2,254
- Thread starter
- #21
Tupe ubuyu kidogoYale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupe ubuyu kidogoYale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
Umeuliza kitoto saaana.Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu
Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
Umekwiva zaidi ya sana my dear wanguNi Jeddah. Tena hapo penyewe awe na ulinzi maana kama vile hawajakubaliana na hilo, kwa staili yake ya mavazi na nyimbo zake.
Hawezi kuperform Mecca wakamkubalia. It's the holy city according to Muslim and only Muslims are allowed to inter the city.
Relief Mirzska nimekwiva? Au nirudi kwenye thread kusoma?
Tunapaswa kuimba nyimbo zinazomtukuza Mungu.Kwan dini zinasemaje kuhusu muziki
Bob. Min Zimbabwe[emoji106]Every man's got a right to decide his own destiny
Ooooooowwwwww nimekwivaaa.[emoji7][emoji7]Umekwiva zaidi ya sana my dear wangu
Sawa..Umeuliza kitoto saaana.
Ukristo hauruhusu kuua lakini kuna wakristo wanaoua, wanaotoa talaka, wanaosema uongo, kusengenya (kama wewe) etc.
Uislamu hauruhusu pombe ila wapo waislamu walevi.
Hao ni watu wawili tofauti na kila mmoja anafanya analoona sahihi kwake ila andiko linabaki vile vile kwa Uislamu Mziki ni haramu na kwa Mkristo talaka, uongo etc ni haramu
Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu
Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
Unachojaribu kusema ni kama Tanzania sio Dar es salam .Afahamu kutofautisha Dar na Tanzania.Saudi Arabia sio Mecca. Fahamu kutafautisha Mecca na Saudi.
Tanzania sio Dar na Dar sio Tanzania.Unachojaribu kusema ni kama Tanzania sio Dar es salam .Afahamu kutofautisha Dar na Tanzania.
Unachojaribu kusema ni kama Tanzania sio Dar es salam .Afahamu kutofautisha Dar na Tanzania.
Mzee yussuf kipindi cha usanii wake hakuwa kuvaa mistaraba. Sasa jiulize je hao watu wawili dini yao ni moja.?Mzee alisema haiimbi tena nyimbo za kidunia ..dini hairuhusu
Vp kwa kijana mondi...au yeye dini yake inaruhusu
HahahahahahahahaKuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.