Kwanini mzee Yusuph kaacha mziki na Diamond anaendelea..wote si wana imani moja?

Kuna taarifa zinaendelea mitandaoni kwamba Nicky Minaj anakwenda kupiga show ya kufa mtu huko Saudi Arabia. Sasa kama huko Mecca kwenyewe wanamkubali Nicky Minaj basi naomba huu mjadala uishie hapahapa.
jamani nick na lile tako lake ananiumizaga roho
 
Si umuulize diamond kwann bado anaimba
 
Alishindwa himili vilio vya damu za fivestar team + vitoto vya dada ake

Yale MZEE aliyoyafanya kwa Wanamziki wenzake hususani Five 5 na wengine, ndo yalimfanya atubu!
 
Nimekusoma
 
ila vinaenda pamoja au niko wrong
Dini ni njia imani ni kuamini, unaweza usiamini Mungu lakini ukamuamini mtu.

Kiislam vinaenda pamoja.

Wengine ni majanga. Biblia inasema nguruwe msimle ni najisi, mtu anafakamia, sasa huyo ana imani na maandiko yake?
 
Show zake zilikuwa zilikuwa zinahudhuriwa sana na magasho
Balaa nyingi zimefanyika,alijiona kama alitenda sana dhambi kubwa
Inasemekana jamaa alishaenda mpk Yemen kuhani kwenye makaburi ya sjui mitume kutubu
Msitegeme jamaa kurudi tena kwenye mambo ya kidunia

Ova
 
Huyo mzee Yusuph wakati anaanza kuimba hakujua kama dini hairuhusu ?
 
Hata WWE Supershow Down ilipigwa Jeddah ila wanawake hawakupigana siku hiyo. Watu na vichupi kama kawaida, full ngumi tu. Saudia Arabia siku hizi hawakazi sana kama zamani.
Welcome to monday night Raw and Smackdown. Jiandae na extreme rules.
Yap nimeona imefanyika saudia Arabia
 
Kakwambia nani Saudia wa perform Sharia law!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu shetani ana nguvu.

Binadamu usimuwekee guarantee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…