I LOVE GIRLS
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 857
- 1,323
πΎπ¨πΊπ¨ππ° πͺπ³π¨πΊπΊπ°πͺ π©π¨π©π
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashart ya illuminant boss , huwa wapo sehemu tatu ambazo entertainer yyte inabidi ahamasishe 1.Ngono 2. Mauaji 3. Uchawi ..ko unachagua unapoweza ...!! Kwenye mziki mara nyingi easy ni ngono ..!!WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.
Lebo yote inaimba ngono tu
Ndio maana wanapata hela.WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.
Lebo yote inaimba ngono tu
Wakulaumiwa ni marehem Remi OngalaDiamond ndio wa kulaumiwa.
Kawafundisha wanae kina harmonize na hadi mabantu wamemuiga.
huwa unamsikiliza maua sama? vp kuhusu hermonize,mabantu na waimba singeli?.au ndio jealousy kwa domomkuu hizo miziki mingine kidogo wanatumia tafsida ,Ila hawa wcb wanaimba yale matusi kabisa ya kitandani
Hizi verse zipo kwenye nobody is safe?Dizasta amesema
HATERS HATERS, nimekuja kuwapa msongo wa mawazo mi ni pay-cut.../
Nilikotoka bingwa, ila jamii imeshiba sana UJINGA that the reason im not famous.../
HATERS HATERS, nimekuja na uthibitisho your favorite raper is lame ass
Hata ww unaonekana unawapenda sana umejuaje kama kila nyimbo yao ni matusi kama huzisikiliz?WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.
Lebo yote inaimba ngono tu
YapHizi verse zipo kwenye nobody is safe?
WASAFI- Worship American Satan for International sasa unategemea waimbe tofauti na mission waliyotumwa kukamilisha.WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.
Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.
Lebo yote inaimba ngono tu