Kwanini mziki wa WCB ni matusi tu wanaimba

𝑾𝑨𝑺𝑨𝑭𝑰 π‘ͺ𝑳𝑨𝑺𝑺𝑰π‘ͺ 𝑩𝑨𝑩𝒀
 
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
Mashart ya illuminant boss , huwa wapo sehemu tatu ambazo entertainer yyte inabidi ahamasishe 1.Ngono 2. Mauaji 3. Uchawi ..ko unachagua unapoweza ...!! Kwenye mziki mara nyingi easy ni ngono ..!!
 
na ipo wazi hayo maeneo yote wapo
 
Karibia tasnia nzima sasa imeharibika inahamadisha ngono ,pombe nk hakuna usalama kabisa cha umuhimu ni kuanza na familia kuinyoosha ktk njia iliyo sawa maana sasa hivi Mazingira hatarishi yapo kila kona tunapoelekea kubaya sana video za uchi zitakuwa kitu cha kawaida.
 
"Filimbi nitapuliza, Kuita ndege waje" - Zuchu - Number One.

Hawa mashamuharibu zuchu tayari dah!
 
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
Ndio maana wanapata hela.

Mashabiki ndio wanachotaka kusikia, imba nyimbo zako za ukombozi wa muafrika kama kuna mtu atasikiliza!
 
Diamond ndio wa kulaumiwa.
Kawafundisha wanae kina harmonize na hadi mabantu wamemuiga.
 
Wabongo na Waafrika nadhani wanapenda Sana matusi. Diamond katumia fursa na ametoboa. Huo ni ubunifu
 
mkuu hizo miziki mingine kidogo wanatumia tafsida ,Ila hawa wcb wanaimba yale matusi kabisa ya kitandani
huwa unamsikiliza maua sama? vp kuhusu hermonize,mabantu na waimba singeli?.au ndio jealousy kwa domo
 
Dizasta amesema

HATERS HATERS, nimekuja kuwapa msongo wa mawazo mi ni pay-cut.../
Nilikotoka bingwa, ila jamii imeshiba sana UJINGA that the reason im not famous.../

HATERS HATERS, nimekuja na uthibitisho your favorite raper is lame ass
Hizi verse zipo kwenye nobody is safe?
 
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
Hata ww unaonekana unawapenda sana umejuaje kama kila nyimbo yao ni matusi kama huzisikiliz?
 
WCB wameharibu mziki wa Bongo ,hakuna contents za maana wanazoimba ni matusi tu, Kila wimbo wanaotoa ni matusi.

Kwanini hata BASATA wasiwaangalie kwa jicho pevu? Huwezi kuwasha TV unapokaa na familia maana unajua wimbo wowote wa WCB ukija ni matusi.

Lebo yote inaimba ngono tu
WASAFI- Worship American Satan for International sasa unategemea waimbe tofauti na mission waliyotumwa kukamilisha.
 
Back
Top Bottom