Kwanini na kuna siri gani katika wewe kuchagua siku yako ya kuzaliwa?

Mama anaweza kuamua hasa km anazaa kwa operation. Ile tar ya kujifungua anaweza kuisogeza mbele siku kadhaa au wiki

Mama wala madaktari hawawezi kuamua kuforce tarehe ya operation kama mtoto bado hajakuwa na kufikia maamuzi yake ya kutoka. UKIMLAZIMISHA KUMTOA KWA OPERATION KABLA YA MUDA MTOTO HUWA ANAJIUA. Ni maamuzi ya mtoto kukubali kutoka kwa operation
 
Je anaweza kuamua baada ya wiki mbili za mimba kufanya hiyo operation?
 
Mama wala madaktari hawawezi kuamua kuforce tarehe ya operation kama mtoto bado hajakuwa na kufikia maamuzi yake ya kutoka. UKIMLAZIMISHA KUMTOA KWA OPERATION KABLA YA MUDA MTOTO HUWA ANAJIUA. Ni maamuzi ya mtoto kukubali kutoka kwa operation
Exactly
 
Kwani hiyo simu imeundwa kwa materials mbalimbali zilizoko kwenye universe. Ni kama ulivyoongelea suala la mimba tu. Mimba inakuwa affected positively or negatively na mazingira.

Cobalt nickel na plastic zimeunda simu.

LAKINI MIMBA IMEUNDWA IKIWA NA NGUVU YA UHAI NDANI YAKE. Uhai unaojitambua
 
Mama wala madaktari hawawezi kuamua kuforce tarehe ya operation kama mtoto bado hajakuwa na kufikia maamuzi yake ya kutoka. UKIMLAZIMISHA KUMTOA KWA OPERATION KABLA YA MUDA MTOTO HUWA ANAJIUA. Ni maamuzi ya mtoto kukubali kutoka kwa operation
Eb google au uliza manake nina mtu namfahamu amematch tar za watoto wake kuzaliwa kwa kupitiliza siku
 
Cobalt nickel na plastic zimeunda simu.

LAKINI MIMBA IMEUNDWA IKIWA NA NGUVU YA UHAI NDANI YAKE. Uhai unaojitambua
Kwa ufahamu wangu unaposema uhai unamaanisha nguvu au energy. Na nafahamu kuwa kila kitu ni nishati au nguvu. Je hayo madini yanayounda simu si energy?
Sometimes kwa mtazamo huu wa kila kitu ni energy basi nimekuwa siamini ile dhana ya kwenye biology ya non living and living things
 
Eb google au uliza manake nina mtu namfahamu amematch tar za watoto wake kuzaliwa kwa kupitiliza siku

Watoto wake wameamua kumatch tarehe zao za kuzaliwa kwa kukubali kuzaliwa pale host wao alipotumiwa excutive command ya kuwatoa ndani ya host. Hilo linawezekana kama tu hawa viumbe wanataka kuwa na matched purpose. Lakini kwa kuwa miaka yao ya kuzaliwa ni tofauti. Basi hawajapata matched purpose hata kwa 20%
 
Exactly kwenye universe kila kitu ni unique hakuna kinachofanana na kingine 100%
 
Kwa ufahamu wangu unaposema uhai unamaanisha nguvu au energy. Na nafahamu kuwa kila kitu ni nishati au nguvu. Je hayo madini yanayounda simu si energy?
Sometimes kwa mtazamo huu wa kila kitu ni energy basi nimekuwa siamini ile dhana ya kwenye biology ya non living and living things
GROWTH. Ukuaji. KUKUA.
ndilo lengo mama la uhai.

KAMA SIMU INAWEZA KUKUA ...

Kuanza kama nukta ndogo then kukua na kufa ndivyo muhimu hapa
 
Hivi kitu kikikuwa katika maana ya retardation inakuwa ni uhai au si uhai?
Chukulia hiyo hiyo simu, mfano inatumika kwa miaka kumi tu then usitumike tena kwa maana ya expiring time. Je hiyo ni growth?
 
...Mkuu wa itifaki Rachel p, Hongera kwa uzi mzuri lakini umeandika kwa knowledge yako sio katika dhana ya uhalisia ya uumbaji.

Hakuna mtu aliyechagua kuja duniani, Wala kuchagua tarehe au jinsia, na shahawa sio mtu.
Mungu pekee ndo anayepanga Nani azaliwe kesho , mwezi ujao, mwakani, au baada ya miaka 10.

Mungu amewaachia sperms shindano la kuchagua namna na conditions za kuanzisha uhai wao. SURVIVAL PURPOSE PLAN
 
Kwa sababu mimba ni KIUMBE HAI huwa inakuwa na maamuzi ya kuanza na pia kumaliza. Yaani yule mtoto ndio huwa anasema nataka kuzaliwa NIMESHAKUWA. Na sio maamuzi ya mama mjamzito wala baba mtoto
una mimba?
 
Hivi kitu kikikuwa katika maana ya retardation inakuwa ni uhai au si uhai?
Chukulia hiyo hiyo simu, mfano inatumika kwa miaka kumi tu then usitumike tena kwa maana ya expiring time. Je hiyo ni growth?

Slow death sio growth.

Au kiswaswadu kinakuwa smartphone kabla ya kufa
 
Back
Top Bottom