Kwanini na kuna siri gani katika wewe kuchagua siku yako ya kuzaliwa?

Hahahaa. Hilo litaleta "sintofahamu" kubwa miongoni mwa wadadisi. Itaonekana anayeadhimisha kumbukizi ya uhai ulipoanzia itakuwa kana kwamba anasherehekea siku baba yake na mama yake walipo-naniliu halafu na mimba ikatungwa. Hiyo sio sawa au ww unamtizamo gani hapo? Tena uzingatie kwamba sperms haziendi chap' kama risasi kupiga target (yai) -hapana - haiko hivyo. Sperms zinachukua muda takriban zaidi ya masaa 24 kulifikia na kulirutubisha yai. Sasa hapo utakuwa unaadhimisha kipi?
 
Je, kuna ushahidi wa kisayansi au wa kifalsafa kuthibitisha kwamba binadamu ana uwezo wa kufanya maamuzi kabla ya kuwepo katika hali ya kimwili?
 
Je, kuna ushahidi wa kisayansi au wa kifalsafa kuthibitisha kwamba binadamu ana uwezo wa kufanya maamuzi kabla ya kuwepo katika hali ya kimwili?
Hoja yako inahitaji uifafanue zaidi ili ieleweke kwamba "hali ya kimwili" unayoizungumzia ni ipi e.g. Yai au Sperm; au Mimba i.e. yai lililorutubishwa au mtoto mchanga aliyezaliwa dk. 1-2 zilizopita n.k.?? Kumbuka katika sayansi hakunaga cha habari za Roho cjui imefanyeje n.k. - hakuna hiyo kitu.
 
Acha kukurupuka, Soma vizuri swali ndipo utoe majibu!

Kwanza Sayansi na falsafa vinahusiana vipi na hizo habari za roho?

Pili wapi kwenye maelezo yangu nimeongelea habari za roho?

Ninapozungumzia hali ya kimwili ninazungumzia binadamu aliyekamilika [Mtoto alitezaliwa tayari], Mwili wa binadamu uliokamilika.

Ninapozungumzia kabla ya kuwepo katika hali ya kimwili ninazungumzia chochote kinachohusiana na binadamu kabla hajazaliwa kama vile yai lililorutubishwa au mimba.

Swali hili linahusiana zaidi na masuala ya kisayansi kuhusu uwezo wa ubongo na akili katika kufanya maamuzi na sio Spiritual things since I'm not a Theist.

Haya umeelewa sasa, ninauliza swali tena;

Je, kuna ushahidi wowote wa kisayansi au wa kifalsafa kuthibitisha kwamba binadamu ana uwezo wa kufanya maamuzi kabla ya kuwepo katika hali ya kimwili?

Means Sperms, Mayai na Mimba vinauwezo wa kufanya maamuzi kabla mtu hajazaliwa?

Majibu yawe based kwa tafiti za kisayansi tafadhali.
 
Kuna maswali magumu dunia
"Pia niliwahi kujiuliza hivi ni muda ndio hurekodi matukio au Matukio ndio hurekodiwa katika muda"
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri. Nimeelewa. Naomba nikujibu kama ifuatavyo:
1. Sperms hazina uwezo wa kufanya maamuzi yoyote (ref.https://www.news-medical.net/news/20200611/The-egg-decides-which-sperm-fertilizes-it.aspx)
2. Mimba ni binadamu kamili 46 chromosome ila hawezi kufanya maamuzi isipokuwa baada ya wiki 26 anaweza kuhisi vitu mbalimbali na hivyo huweza kujitikisa au hata kubadili mkao.
Hitimisho: Hoja za swali lako unaweza kujisomea mwenyewe majarida mbali mbali e.g. medical journals au ukiGoogle utapata Majibu sawia. Asante. Ni hayo tu.
 
Ahsante kwa majibu mazuri!

Kwa hayo maelezo uliyoyatoa tunaweza kuhitimisha kwa kusema - Hakuna ushahidi wowote wa kisayansi au wa kifalsafa kuthibitisha kwamba binadamu ana uwezo wa kufanya maamuzi kabla ya kuwepo katika hali ya kimwili.

Hivyo kulingana na maelezo ya Rachel P namnukuu;

"Hii inathibitisha kwamba binadamu huyu alikuwa hai kabla ya kutungwa kwa mimba yake, na ALICHAGUA kuwa wa kuzaliwa katika tarehe hiyo atakayoamua yeye kutoka katika tumbo la mama yake miezi 9 (au 10 au 8 au 7) mbele.

Uchaguzi wa HIYARI"


Haya maelezo ya Rachel P si kweli sababu kama ilivyoelezea hapo kwenye hiyo link ni kwamba kabla binadamu hajazaliwa hana uwezo wa kuamua jambo lolote ikiwemo tarehe yake ya kuzaliwa lakini pia Maelezo ya Rachel P hayajathibitishwa kisayansi ni maelezo yanayopatana na Fikra zake binafsi tu.

Ahsante!
 
Naam. Maelezo ya Rachel P. ni Fikra zake binafsi hayana uthibitisho wa kisayansi.
 
Kile kilichohai husababisha kilichohai kingine

Sasa hapo ndipo mtoa mada kauliza" kwamba Kwa nini kiumbe wewe ulichagua siku Ile ya kuingia Kwa host na kachagua siku Ile ulipotoka Kwa host"
Mtoa mada Kwa swali nadhani Bado anataka turudi nyuma zaidi nahisi tukiwa kwenye manii kitu ambacho ni kufanya maisha kuwa magumu
 
Siku ulipotoka kwa host ndo siku rasmi ulipojulikana kuwa kumbe na wewe upo. Wewe sasa ni mtu kama watu wengine.
 
Nakuelewa sanaaaaa
 
Mkuu, kuna faida kubwa sana kiroho kuijua siku mimba yako ilipotungwa, ambao ndo mwanzo wako halisi wa maisha ya kimwili.

Mtoa mada asipoligusia hili, nitaleta mada hii na calculation zake ili watu wajifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…