Kwanini nabii amejipaka UNGA USONI?

Kwanini nabii amejipaka UNGA USONI?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
935750_158212031026014_985928191_n.jpg


Nabii Florah akiwa na Dotnata.
Hivi mahubiri hayanogi hadi mjipake maunga usoni?
 
Nachelea kusema... Kama huu ni unabii au USANGOMA tu?!:focus:

Halafu ka anaonyesha uzoefu wa rigwaride vile; kazi kweli kweli!!
 
Nabii hata kwa rigwaride wamoo kwa tunaemjua kwa undani we acha tuu, wakina wema wanasingiziwa na huo unga aliopaka nadhani alikua anatoka mashineni kusaga muhogo au mahindi
 
Nachelea kusema... Kama huu ni unabii au USANGOMA tu?!:focus:

Halafu ka anaonyesha uzoefu wa rigwaride vile; kazi kweli kweli!!

usangoma mwanangu,ukiwauliza hawa shindwi kujitetea eti mbona Yesu alimponya mtu upofu kwa tope alilochanganya na mate...!!!fix tupu hakuna nabii wanamna hii,naukitaka kujua njia za shetani wanaoshawishika wengi ni wanawake,kama ilivyo kuwa EDENI
 
mwenzio kapaka faundesheni wewe unasema unga........
Preta umenichekesha...faundesheni kama ni kwa mtindo huu basi hatari...Labda hakuwa na kioo cha kujitazama kabla hajatoka kwa nyumba. Ukitaka uzuri sharti uzurikie. Mtumishi wa Mungu haipendezi kabisa.
 
Back
Top Bottom