Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Wapenzi, msiamini kila roho,bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni.1 yohana 4:1
Ila bado hujatoa jibu la mleta mada... Basi tusema, kwa nini kapaka faundesheni? Au ni sehemu ya mUPAKO?!mwenzio kapaka faundesheni wewe unasema unga........
Humwoni Dot hapo na njembake!?natamani nione waumini wake...
Humwoni Dot hapo na njembake!?
Nachelea kusema... Kama huu ni unabii au USANGOMA tu?!:focus:
Halafu ka anaonyesha uzoefu wa rigwaride vile; kazi kweli kweli!!
Preta umenichekesha...faundesheni kama ni kwa mtindo huu basi hatari...Labda hakuwa na kioo cha kujitazama kabla hajatoka kwa nyumba. Ukitaka uzuri sharti uzurikie. Mtumishi wa Mungu haipendezi kabisa.mwenzio kapaka faundesheni wewe unasema unga........