Kwanini nabii amejipaka UNGA USONI?

Huduma yake inaitwaje?nataka nijiungemo naamini sitatokapo tupu!! Naweza patamo ki malaika cha kuni pepea kwa bedroom, ni heri na dokii angejiita nabii kuliko huyu.
 
Kazi kweli kweli.,ukiendekeza mashida waweza dhani kuwa kila mtu ni msaada kwako.Katika hali ya kawaida ukimuangalia haonyeshi haiba ya kuwa karibu na mola kiasi cha kuweza kuwa daraja kwa wengine.,
 
Huduma yake inaitwaje?nataka nijiungemo naamini sitatokapo tupu!! Naweza patamo ki malaika cha kuni pepea kwa bedroom, ni heri na dokii angejiita nabii kuliko huyu.

.....usipime, utapoteamo !
 
Mimi na wewe hatujui mkuu... Ila katisha kiaina badala ya kupendeza
 
Freemason

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…