Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #61
Jamani...!Nilijua Michael Jackson, mtu gani huyu yupo kama Amoxicillin...
Kanisa lake lipo wapi?nasikia mchawi kaanguka kanisani kwake
1 yohana 4:1
Mmh
Nabii Florah akiwa na Dotnata.
Hivi mahubiri hayanogi hadi mjipake maunga usoni?