Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Ni kutokana na ilipo ndiyo maana... Ipo Dar ndiyo maana unahisi humu ndani kila member anaishi Dar....


Ni sawa na ukiangalia ITV akili itakutuma wanaoesha vitu vya Dar tu... Star TV utahisi wanaonesha vitu vya mwanza tu, Abood Tv utahisi wanaonesha vitu vya moro...

TBC utahisi wanaonesha vitu vya mikoani na mambo ya kale tu....


Cc: mahondaw
 
Moshono hapa...... wa siyo dar kunakofimuka chemba manyunyu yakipita!
 
Mi nadhani kinachofanya uhisi watu wote wako Dar ni sababu huwa hauchambui vizuri mbegu.
 
Hivi na huu ni Uzi watu mpo bizy kucomment
 
Back
Top Bottom