Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Kwanini nahisi watu wote wa JamiiForums wapo Dar?

Ila asilimia kubwa watakua wamewahi kuishi dar,
Su kama ni wa mikoani kabusa elimu ipo kichwani
 
Mi wa kitongoji cha mpapang'ombe, ingirito. Tunalima mpunga wa milimani na miogo. Mtandao napata nikiwa mlimani au inabidi nipande juu ya mti. Maisha ya huku poa sana , karibuni.
 
Back
Top Bottom