Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,728
- 1,327
Haha poa mkuuLupilo zimefika
Ila mbingu mbali mkuu kutoka hapa.
Mi nko njombe huku af humu kitambo kabla ya android 2010Yani uwaga nahisi watu wote wa jf wanaishi DSM kumbe na wa mikoani mupo dah
Hapana ni mchuuzi tu mimi[emoji1] [emoji1] [emoji1] wee ni mnunuzi????
Tupoookuna wanaohamahama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kushabu nyingiMi nadhani kinachofanya uhisi watu wote wako Dar ni sababu huwa hauchambui vizuri mbegu.
Lamadi BusegaSimiyu pande zipi mkuu?
Mbona mie nipo KIBITI