Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaahahahahaHehehehehee woow, you bet...... all the best.
I can take it...Am good risk managerHhahahahahaa at your own risk.
Hahahaha kumbe yupo hapa basi ajipange sana maana nataka kuuteka moyo wa kasie mahaba matataOK, anakusoma ujue, ukistukia umekatwa mtama usishangae hehehee.
Kasie karne hii iliyojaa technologies mbuyu kuung'oa sì ishu tena mamaaHhahahahahaa nashukuru kunikubali, ila kazi uliyonayo ni zaidi ya kuung'oa mbuyu.
Kasie msanii gani alipiga huu wimbo?Nautafuta sana.Nikitizama taswira nasuuzika
Nikisoma maandishi yake nahorojeka
Akiwa anazungumza / kujibishana na watu naburudika....
Japo ashawahi nikasirisha ila anajua kunifurahisha na kunisahaulisha....
Hakika nampenda na yake yote aliyonayo, mabaya kwa mazuri bado nampenda hata nikigombana nae siwezi kumuacha.
Dadii to you am more than a friend, more than a woman, more than a another, more than a lover......
#Loving you..... has made my life so beautiful, and everything in my life is driven by loving you... laa laa laa laa laah, laa laa laa laa laah, laa laa laa laa laah laah laah laaah dumdumdumdumduuh uuuuuuuuuuhhhhh.
Mahaba trilion kwako Dadii.
Mmuahh! !
NB: KICHWA CHA UZI KISOMEKE, KWANINI NAMPENDA SANA DADII....
Hapo mwisho kuna maneno ya wimbo flani wa kizungu wa muda mrefu umeandika (Loving you lalalala lalala) ndo nilikua nataka madame.Kama ni wa Ay basi.Ambwene Yesaya aka AY na video yake nimeweka page ya kwanza kabisa.
Mbuyu kwangu siukatì bali nauchimba nang'oa na mizizi yake kabisa kisha natengenèza bustani napanda maua mazuri na miti ya ma appleHhehehehehehee shauri lakoo, usione watu wengine hawana nguvu ya kukata mbuyu, walijaribu wakanyoosha mikono...
Hapana chezea Dadii....
Mbuyu kwangu siukatì bali nauchimba nang'oa na mizizi yake kabisa kisha natengenèza bustani napanda maua mazuri na miti ya ma apple
Sina mbinu yoyote ila kukatwa haiwezekani. Dadii awe mpole tu tumiliki moyo huoHhahahahahhahaaa wewe weka mbinu zako zote hapa, ukijastuka umekatwa wewe heheheheheee.
Don't under estimate my Dadii...