Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

Kwanini Nampenda Sana Dadii.....

OK, anakusoma ujue, ukistukia umekatwa mtama usishangae hehehee.
Hahahaha kumbe yupo hapa basi ajipange sana maana nataka kuuteka moyo wa kasie mahaba matata

Alafu kasie unajua mimi ninavyokukubali
 
Hahahaha kumbe yupo hapa basi ajipange sana maana nataka kuuteka moyo wa kasie mahaba matata

Alafu kasie unajua mimi ninavyokukubali

Hhahahahahaa nashukuru kunikubali, ila kazi uliyonayo ni zaidi ya kuung'oa mbuyu.
 
Nikitizama taswira nasuuzika

Nikisoma maandishi yake nahorojeka

Akiwa anazungumza / kujibishana na watu naburudika....

Japo ashawahi nikasirisha ila anajua kunifurahisha na kunisahaulisha....

Hakika nampenda na yake yote aliyonayo, mabaya kwa mazuri bado nampenda hata nikigombana nae siwezi kumuacha.

Dadii to you am more than a friend, more than a woman, more than a another, more than a lover......

#Loving you..... has made my life so beautiful, and everything in my life is driven by loving you... laa laa laa laa laah, laa laa laa laa laah, laa laa laa laa laah laah laah laaah dumdumdumdumduuh uuuuuuuuuuhhhhh.

Mahaba trilion kwako Dadii.

Mmuahh! !

NB: KICHWA CHA UZI KISOMEKE, KWANINI NAMPENDA SANA DADII....
Kasie msanii gani alipiga huu wimbo?Nautafuta sana.
 
Kasie karne hii iliyojaa technologies mbuyu kuung'oa sì ishu tena mamaa

Hhehehehehehee shauri lakoo, usione watu wengine hawana nguvu ya kukata mbuyu, walijaribu wakanyoosha mikono...

Hapana chezea Dadii....
 
Koh koh

Nahitaji Cofta koh koh

Nabanja kwaacha kwaacha...

Hhahahahahahahahaaa umenikumbusha huu wimbo.....

Penzi ni kikohozii kulificha huliweziii...

Hata ukilificha utakohoa tuu koh koh koh, koh koh koh ......

Ambwene Yesaya aka AY na video yake nimeweka page ya kwanza kabisa.
Hapo mwisho kuna maneno ya wimbo flani wa kizungu wa muda mrefu umeandika (Loving you lalalala lalala) ndo nilikua nataka madame.Kama ni wa Ay basi.
 
Hapo mwisho kuna maneno ya wimbo flani wa kizungu wa muda mrefu umeandika (Loving you lalalala lalala) ndo nilikua nataka madame.Kama ni wa Ay basi.

cc: Dadii wa Kasie.

Huo hapo, singer ni Minnie Riperton - Loving You.
 
Hhehehehehehee shauri lakoo, usione watu wengine hawana nguvu ya kukata mbuyu, walijaribu wakanyoosha mikono...

Hapana chezea Dadii....
Mbuyu kwangu siukatì bali nauchimba nang'oa na mizizi yake kabisa kisha natengenèza bustani napanda maua mazuri na miti ya ma apple
 
Mbuyu kwangu siukatì bali nauchimba nang'oa na mizizi yake kabisa kisha natengenèza bustani napanda maua mazuri na miti ya ma apple

Hhahahahahhahaaa wewe weka mbinu zako zote hapa, ukijastuka umekatwa wewe heheheheheee.

Don't under estimate my Dadii...
 
Hhahahahahhahaaa wewe weka mbinu zako zote hapa, ukijastuka umekatwa wewe heheheheheee.

Don't under estimate my Dadii...
Sina mbinu yoyote ila kukatwa haiwezekani. Dadii awe mpole tu tumiliki moyo huo
 
My endless Love...

My Dadii...

You know I don't mind, you'll be the only one....

My Love Dadii.

Halafu Dadii, huu wimbo kumbe umeimbwa mwaka 1981..... ndo maana......
 
Back
Top Bottom