Maoni Yako na Yaheshimiwe!Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu
3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.
4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.
Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?
Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.
Ni maombi yangu mtanifikiria
Asanteni sana
Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Mkuu, una hoja, unastahili kusikilizwaKwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu
3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.
4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.
Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?
Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.
Ni maombi yangu mtanifikiria
Asanteni sana
Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Unaudhi na hizi mambo kila sikuKwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu
3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.
4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.
Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?
Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.
Ni maombi yangu mtanifikiria
Asanteni sana
Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Acha kudeka..piga kazi....Kwa niliyo ya fanya JamiiForums nidhahiri mimi ni mtu maarufu na ninastahili platinum badge.
Enyi mods nahisi mnatambua makubwa niliyo ya fanya, humu
1: Kuanzisha nyuzi ngumu Kumeza na kubaki katika majibizano bila kukimbia
2: kuonesha kuwa ukweli ambao wengi wanadhani ni sahihi unaweza kuwa uongo uliozoeleka.. Someni nyuzi zangu
3: kuchallenge JF staff kufanya marekebisho na kuwapa awareness.
4: kuchukiwa na kila member ila bado Nika endelea kuwa katika peak yangu na msimamo ule ule. Hiki kitu hakuna member mwingine yoyote anakoweza, atakimbia kejeli na matusi ya walimwengu.
Na mwisho kabisa niwaulize ni member gani anayesomwa ka kufatiliwa sana kuliko mimi?
Ni wakati sahihi wa uongozi wa JF kunitunuku platinum badge ambayo mwanzo mlidhani sistahili.
Ni maombi yangu mtanifikiria
Asanteni sana
Maxence Melo Mello Moderator Payge Active
Ndege mdinya πBasi ni nani mwingine anapaswa kutagiwa hapo?