Kumbe upo US halafu unaongea ujinga namna hii.Hapa US kuna watu wanaosema ni kwanini serikali inatoa misaada nchi nyingine wakati kuna ombaomba wengi na watu wasio na nyumba? Hii ni mifumo na hatuwezi kukubaliana na kila kitu wangekubaliana na hawa tusingepata $600M kama msaada kutoka US wa Afya miaka miwili iliyopita
Huwezi kuhoji gharama wanazo kata benki kwa ajili ya kukutunzia pesa yako. Watumishi wa benki wote, pango, bili za umeme na maji, mifumo wanayotumia, vyote hivyo vinalipiwa na mgharamiaji unapaswa kuwa wewe muweka fedha.Nakubaliana na wewe lakini tujue tu hizi ni tozo mpya na serikali inahitaji muda kuonyesha kimefanyika nini. Hatutaweza kujua kwasasa manufaa ya uwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji wakati hata tozo na uwekezaji haujafanyika. Lakini kwenye hizi tozo tujiulize mfano hayo makato ya kibank na yale ya simu ambayo yapo je viwango vilikuwa halisi au walikuwa nao wanaweka juu sana?. Bank mfano ATM fees tunajua pesa yote hiyo ni ya nini wakati mifumo ya pesa ni rahisi na bank kuu inafanya kila kitu
Kwanza kabisa umesema unaishi Texas, hilo ni moja ya majimbo huko Marekani. System ya maisha ya marekani ni ya kuthamini utu. Huwezi fananisha na system ya bongo kila mtu anajijali yeye kwanza wengine mtajiju.Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.
Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati huu zaidi ya tozo na nitajaribu kuweka hoja hapa vizuri. Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji pesa ili iweze kuwekeza kwenye miradi mingi sana kuanzia elimu, maji, barabara, umeme, kilimo, ulinzi.......n.k
Sasa vyanzo vya mapato ni hivi
Tanzania tumeshakopa na bado tutaendelea kukopa kama tutapata mikopo nafuu lakini vilevile tunakusanya kodi mbalimbali. Lakini ukiangalia vizuri budget zetu pesa ya kodi ambayo haitoshi hata kwenye budget bado inaenda kwenye shughuli ambazo sizo za kimaendeleo hivyo sio uwekezaji wa nchi bali ni matumizi. Kuna miradi tunalipia kwenye kodi kama ya maji na umeme lakini wakati wa Kikwete pesa karibu yote ilikuwa ni kulipa mishahara na matumizi ya serikali.
- Missada kutoka nje
- kodi na tozo
- mikopo
Sasa kama nchi tuko kwenye kipindi cha uwekezaji kwa mara ya kwanza tunaanza kuona barabara za kisasa, shule bora, hospitali na umeme hasa vijijini. Sasa tumefikaje hapa ? Ni kuwekeza kwa kodi mpya na tozo. Umeme mfano wa vijijini umepelekwa na tozo maalamu kwenye luku za nyumbani na barabara za vijijini nyingi zinatengenezwa na tozo kwenye mafuta. Lakini ili kama nchi tuweze kuwekeza na kuongeza walipa kodi ni lazima tuwekeze kwenye kilimo. Kilimo kitaongeza mapato kwenye kodi lakini tatizo hatuna mfumo mzuri wa kilimo kuwa na uazalishaji wa uhakika. Bashe amekuja na mpango mzuri wa kuongeza uzalishaji kwa kufanya yafuatayo (1) Serikali itatoa ruzuku kwenye mbolea (2) Serikali itawekeza kwenye umwagiliaji (3) watatoa mbegu (4) watafuta wawekezaji wa viwanda (5) kutafuta masoko. Hii ndiyo mojawapo kubwa ya kuongeza ajira na kodi lakini mtaji wa yote haya ni karibu Trillion moja sasa mtaji unatoka wapi? Hii ndiyo sababu imeenda kwenye tozo hivyo tozo ni muhimu kwasababu ni mtaji wa uhakika wa kuongeza kodi kwa miaka ijayo. Lakini ni tukiangalia vizuri tatizo letu ni utamaduni mbovu watu wengi walizoea kukaa bila kulipa kodi wala tozo
Mimi ni diaspora wa muda mrefu sana na naishi na kutafuta maslahi yangu jimbo la Texas. Hili jimbo letu linajulikana kwa kuwa na kodi ndogo lakini ngoja niwape data kidogo ili mgundue tonavyolipa kodi.
Hapa sijaongelea tozo na kodi za mishahara. Lakini mjue hapa bado tuna nafuu sana kulinganisha na nchi za Ulaya au Canada ambako Tozo na kodi zipo juu sana. Familia yangu ina bahati tuna nyumba Uninio sehemu ambayo ina thamani sana lakini kodi zetu pale hazifiki hata 1% ya thamani wakati bodaboda wanalipa kodi kwenye mafuta. Hivyo kuna sehemu kiukweli wanaonufaika ni matajiri tu kusema ukweli.
- Nyumba kila mwaka nalipa 3% ya thamani ya nyumba. Hivyo kwa mfano kama nyumba pale Tanzania yenye thamani ya Tsh 100,000,000 basi unatakiwa kulipa kila mwaka Tsh 3,000,000. Hakuna mjadala kwenye hili na usikolipa unapekwa mahakamani na nyumba inapigwa mnada
- Jumuia na majiradi vilevile wana kitu kinaitwa HOA-Housing Owners Association hii ni jumuia ya makazi yako na majirani kila nyumba inalipa $350-$1000 kwa mwaka kwa usafi wa jumla kama kukata majani na kusafisha mitaro. Hii ni nje ya nyumba yako hii nayo ni lazima na kisheria wanaweza kwenda na utaratibu mpaka wakapiga mnada nyumba
- Tuna tozo za maji na kuchukuwa taka. Kila wiki wanapita kuchukuwa taka kwenye magaloni maalumu. Hii inafanywa na manispaa huwezi kuchoma matakataka ovyo ovyo. Maji unalipa kutokana ma matumizi lakini taka utalipia unataka au hautaki jumla sio chini ya $100 kila mwezi. Ukitupa uchafu ovyo ni faini, usipoweka uchafu vizuri kwenye mifuko ni faini....
- Barabara nyingi zinajegwa kwa mikopo inayoitwa goverment bonds hivyo ni lazima ilipwe. Kila nikienda kazini kwa mfano ni lazima nipitie kwenye barabara za kulipia "toll roads" na natumia sio chini ya $5-$7 kwenda kwa siku moja na kurudi. Tena hii ni rahisi New York wanatumia $12-$15.
- Ukienda kwenye hotel na kokodi chumba karibu 35% ni kodi na tozo, kwenye simu, cable za TV au Dish hivyohivyo
- Kwenye super market kila ukinunua kitu kuna 5% ya tozo inaenda kusaidia “Metro" ambayo ni kama mwendo kasi yetu.
- Lakini hapa kuna bima ya karibu kila kitu nyumba ni lazima uwe na bima na kwenye hizi bima kuna pesa zinaenda kusaidia idara kama Zimamotto... na ambulance
Kuna ambao watasema huko Ulaya na US pesa inaonekana ni kweli tuna shule kwenye kila mtaa za watoto zina mabasi na ni bure lakini tunalipa 3% kwenye thamani ya nyumba na pesa inaenda huko. Hivyo hoja ni yaanze mayai au kuku lakini kodi ni muhimu na maendeleo ni muhimu. Ndiyo maana hoja yangu ni kwamba tozo ni muhimu kwasababu ni mtaji na utaratibu mpya wa kuongeza wigo la walipa kodi na kuweka mifumo ya kimaendeleo. Tatizo kubwa ni mazoea ya watu wengi walikuwa wamezoea kukaa bila shughuli na kubangaiza lakini kama tunataka umeme vijijini, barabara za lami na hospitali ni lazima zitengenezwe, kuwe na pesa za matengenezo kila mara na pesa za wahudumu. Ni lazima kuwe na mfumo wa mapato na wananchi ni lazima wazalishe ili waweze kuwa na mifumo hii. Huwezi kukaa kijijini hulipi kodi yeyote, huzalishi chochote halafu unahitaji barabara, maji, umeme ... pesa inatoka wapi? Ni lazima serikali iwekeze kwenye kilimo ili wewe mwanakijiji uweze kuchangia kodi na maendeleo na ndicho kinacho fanyika kwa sasa
Grant - Is a benefit from a donor country termed as a gift that we are never liable to repay be it monetary orNaimba kujua au kupata elimu kidogo hapa...Msaada kutoka nje na mkopo unatofauti gani..? Isn't the source the same "person"...?
Thanks for the clarification.Grant - Is a benefit from a donor country termed as a gift that we are never liable to repay be it monetary or
Loan- Is a monetary benefit from a financial institution that we are liable to
repay it in accordance to the agreed terms.
Tunachotaka kuju tozo ni kiasi gani inakusanywa naNakubaliana na wewe lakini tujue tu hizi ni tozo mpya na serikali inahitaji muda kuonyesha kimefanyika nini. Hatutaweza kujua kwasasa manufaa ya uwekezaji kwenye kilimo cha umwagiliaji wakati hata tozo na uwekezaji haujafanyika. Lakini kwenye hizi tozo tujiulize mfano hayo makato ya kibank na yale ya simu ambayo yapo je viwango vilikuwa halisi au walikuwa nao wanaweka juu sana?. Bank mfano ATM fees tunajua pesa yote hiyo ni ya nini wakati mifumo ya pesa ni rahisi na bank kuu inafanya kila kitu
Tunachotaka kuju tozo ni kiasi gani inakusanywa na
Impact yake ni kwa kiwango gani. Haitoshi tu kusema tozo zimejenga zahanati. Wakati hawatoi takwimu kuwa tozo makusanyo ni kiasi gani.
Hapo kinachofichwa ni ufisadi tu sio kingine. Kama budget yetu ikibanwa vizuri kodi ikaelekezwa kwenye mambo ya msingi na sio matumizi na wizi basi tunahitaji miaka michache sana tu ya kubadili nchi.
Matumizi mabaya ya tozo na kodi ukichanganya na usiri wa takwimu za makusanyo tutaendelea kuwa hivi hivi sababu watu watajichotea mihela gizani.
Sidhani hata kama hizo tozo zinaingia hazinaUnaulizia tozo mpya au zilizokuwepo? Tuzo mpya ndizo zimeanza kukusanywa itachukuwa mwaka kujua. Pili ripoti ya CAG ndiyo kazi yake lakini watu wengi wanakuaga wana puuza hii ripoti halafu wanauliza kama wewe hapa. Vilevile Wabunge wetu wanatakiwa kuuliza huu ndiyo muda wa kwenda kwenye vikao vya jimboni kwako
Umesahau eneo la matumizi. Kwamba wakati umma unajifunga mkanda wengine wanaendelea kuingiza V8 brand new kwa hela za serikali!!Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.
Mimi binafsi sijaona ubaya wowote wa serikali kuweka tozo na nina fikiri hakuna njia nyingine kwa wakati huu zaidi ya tozo na nitajaribu kuweka hoja hapa vizuri. Tanzania kama nchi inayoendelea inahitaji pesa ili iweze kuwekeza kwenye miradi mingi sana kuanzia elimu, maji, barabara, umeme, kilimo, ulinzi.......n.k
Sasa vyanzo vya mapato ni hivi
Tanzania tumeshakopa na bado tutaendelea kukopa kama tutapata mikopo nafuu lakini vilevile tunakusanya kodi mbalimbali. Lakini ukiangalia vizuri budget zetu pesa ya kodi ambayo haitoshi hata kwenye budget bado inaenda kwenye shughuli ambazo sizo za kimaendeleo hivyo sio uwekezaji wa nchi bali ni matumizi. Kuna miradi tunalipia kwenye kodi kama ya maji na umeme lakini wakati wa Kikwete pesa karibu yote ilikuwa ni kulipa mishahara na matumizi ya serikali.
- Missada kutoka nje
- kodi na tozo
- mikopo
Sasa kama nchi tuko kwenye kipindi cha uwekezaji kwa mara ya kwanza tunaanza kuona barabara za kisasa, shule bora, hospitali na umeme hasa vijijini. Sasa tumefikaje hapa ? Ni kuwekeza kwa kodi mpya na tozo. Umeme mfano wa vijijini umepelekwa na tozo maalamu kwenye luku za nyumbani na barabara za vijijini nyingi zinatengenezwa na tozo kwenye mafuta. Lakini ili kama nchi tuweze kuwekeza na kuongeza walipa kodi ni lazima tuwekeze kwenye kilimo. Kilimo kitaongeza mapato kwenye kodi lakini tatizo hatuna mfumo mzuri wa kilimo kuwa na uazalishaji wa uhakika. Bashe amekuja na mpango mzuri wa kuongeza uzalishaji kwa kufanya yafuatayo (1) Serikali itatoa ruzuku kwenye mbolea (2) Serikali itawekeza kwenye umwagiliaji (3) watatoa mbegu (4) watafuta wawekezaji wa viwanda (5) kutafuta masoko. Hii ndiyo mojawapo kubwa ya kuongeza ajira na kodi lakini mtaji wa yote haya ni karibu Trillion moja sasa mtaji unatoka wapi? Hii ndiyo sababu imeenda kwenye tozo hivyo tozo ni muhimu kwasababu ni mtaji wa uhakika wa kuongeza kodi kwa miaka ijayo. Lakini ni tukiangalia vizuri tatizo letu ni utamaduni mbovu watu wengi walizoea kukaa bila kulipa kodi wala tozo
Mimi ni diaspora wa muda mrefu sana na naishi na kutafuta maslahi yangu jimbo la Texas. Hili jimbo letu linajulikana kwa kuwa na kodi ndogo lakini ngoja niwape data kidogo ili mgundue tonavyolipa kodi.
Hapa sijaongelea tozo na kodi za mishahara. Lakini mjue hapa bado tuna nafuu sana kulinganisha na nchi za Ulaya au Canada ambako Tozo na kodi zipo juu sana. Familia yangu ina bahati tuna nyumba Uninio sehemu ambayo ina thamani sana lakini kodi zetu pale hazifiki hata 1% ya thamani wakati bodaboda wanalipa kodi kwenye mafuta. Hivyo kuna sehemu kiukweli wanaonufaika ni matajiri tu kusema ukweli.
- Nyumba kila mwaka nalipa 3% ya thamani ya nyumba. Hivyo kwa mfano kama nyumba pale Tanzania yenye thamani ya Tsh 100,000,000 basi unatakiwa kulipa kila mwaka Tsh 3,000,000. Hakuna mjadala kwenye hili na usikolipa unapekwa mahakamani na nyumba inapigwa mnada
- Jumuia na majiradi vilevile wana kitu kinaitwa HOA-Housing Owners Association hii ni jumuia ya makazi yako na majirani kila nyumba inalipa $350-$1000 kwa mwaka kwa usafi wa jumla kama kukata majani na kusafisha mitaro. Hii ni nje ya nyumba yako hii nayo ni lazima na kisheria wanaweza kwenda na utaratibu mpaka wakapiga mnada nyumba
- Tuna tozo za maji na kuchukuwa taka. Kila wiki wanapita kuchukuwa taka kwenye magaloni maalumu. Hii inafanywa na manispaa huwezi kuchoma matakataka ovyo ovyo. Maji unalipa kutokana ma matumizi lakini taka utalipia unataka au hautaki jumla sio chini ya $100 kila mwezi. Ukitupa uchafu ovyo ni faini, usipoweka uchafu vizuri kwenye mifuko ni faini....
- Barabara nyingi zinajegwa kwa mikopo inayoitwa goverment bonds hivyo ni lazima ilipwe. Kila nikienda kazini kwa mfano ni lazima nipitie kwenye barabara za kulipia "toll roads" na natumia sio chini ya $5-$7 kwenda kwa siku moja na kurudi. Tena hii ni rahisi New York wanatumia $12-$15.
- Ukienda kwenye hotel na kokodi chumba karibu 35% ni kodi na tozo, kwenye simu, cable za TV au Dish hivyohivyo
- Kwenye super market kila ukinunua kitu kuna 5% ya tozo inaenda kusaidia “Metro" ambayo ni kama mwendo kasi yetu.
- Lakini hapa kuna bima ya karibu kila kitu nyumba ni lazima uwe na bima na kwenye hizi bima kuna pesa zinaenda kusaidia idara kama Zimamotto... na ambulance
Kuna ambao watasema huko Ulaya na US pesa inaonekana ni kweli tuna shule kwenye kila mtaa za watoto zina mabasi na ni bure lakini tunalipa 3% kwenye thamani ya nyumba na pesa inaenda huko. Hivyo hoja ni yaanze mayai au kuku lakini kodi ni muhimu na maendeleo ni muhimu. Ndiyo maana hoja yangu ni kwamba tozo ni muhimu kwasababu ni mtaji na utaratibu mpya wa kuongeza wigo la walipa kodi na kuweka mifumo ya kimaendeleo. Tatizo kubwa ni mazoea ya watu wengi walikuwa wamezoea kukaa bila shughuli na kubangaiza lakini kama tunataka umeme vijijini, barabara za lami na hospitali ni lazima zitengenezwe, kuwe na pesa za matengenezo kila mara na pesa za wahudumu. Ni lazima kuwe na mfumo wa mapato na wananchi ni lazima wazalishe ili waweze kuwa na mifumo hii. Huwezi kukaa kijijini hulipi kodi yeyote, huzalishi chochote halafu unahitaji barabara, maji, umeme ... pesa inatoka wapi? Ni lazima serikali iwekeze kwenye kilimo ili wewe mwanakijiji uweze kuchangia kodi na maendeleo na ndicho kinacho fanyika kwa sasa
Hoja ni double taxation kitu ambacho ni kinyume na sheria ya kodiKwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.

Kuna hoja kwamba mwendazake angekuwepo miradi ingefanyika na unafuu kwa mwananchi wa kawaida ungezingatiwa. Hili halina uthibitisho ila linafikirisha - katika mazingira ya kwamba vita ya Russia/Ukraine haipo!Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.

Kisingekuwa na unafuu wowote.Kuna hoja kwamba mwendazake angekuwepo miradi ingefanyika na unafuu kwa mwananchi wa kawaida ungezingatiwa. Hili halina uthibitisho ila linafikirisha - katika mazingira ya kwamba vita ya Russia/Ukraine haipo!
Mkuu, naona umeongea mambo mengi lakini umeshindwa kufafanua uzuri kuhusu hizi kodi na tozo.Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.

Kwanza kabisa, huwezi kufahamu kwa asilimia mia kwamba tozo ndizo zina changia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya nchi. Matumizi ya serikali na jinsi ambavyo rasilimali hutumika siku zote ni siri. Jambo la kushangaza ni jinsi ambavyo kodi hubadilika kila mwaka. Sijawahi kusikia punguzo wala kufutwa kabisa kwa baadhi ya kodi. Siku zote serikali hutanua wigo na kuongeza kodi.Kwanza tuweke mambo sawa tozo ni aina ya kodi. Hivyo tusiongelee tozo kama vile sio kodi.

Kwanza kabisa, huwezi kufahamu kwa asilimia mia kwamba tozo ndizo zina changia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya nchi. Matumizi ya serikali na jinsi ambavyo rasilimali hutumika siku zote ni siri. Jambo la kushangaza ni jinsi ambavyo kodi hubadilika kila mwaka. Sijawahi kusikia punguzo wala kufutwa kabisa kwa baadhi ya kodi. Siku zote serikali hutanua wigo na kuongeza kodi.
Sikubaliani na wewe unaposema kwamba madhumuni ya kodi ni kuwekeza zaidi kwenye kilimo. Hii ni taarifa ambayo lazima uwe ndani sana serikalini kufahamu ukweli. Mimi nina amini sana kwenye bajeti iliyo wasilishwa bungeni kwasababu hayo ndiyo mapato na matumizi tunayo yafahamu kama wananchi. Katika swali lako, ningependa sana turejee zaidi kwenye bajeti ya kilimo na tufuate makadirio yaliyo1 Ulikuwa unapendekeza serikali ifanye nini kuongeza wigo la walipa kodi kama hukubaliani na uwekezaji kwenye kilimo kutokana na tozo. Unataka tokope?, kuongeze kodi nyinginge na zipi?, au tusiwekeze kabila tubaki tulivyo. Hatuwezi kutegemea misaada kila siku