Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

Kwenye kipindi hiki ambacho watu wamenusurika na COVID-19, wanaanza kuuawa kwa mabomu tena?
 
Leo hujamalizia na ofa ya kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi
 
Rubbish, huwa nakuunga mkono mambo mengi lakini sikuungi kwa ujinga huu wa kuua watu wasio na hatia, kama mrusi ana nguvu kwanini asiende kuvamia Marekani?
Kama Marekani ananguvu kwa nini hamzuii Israel kuua wapalestina.
 
Umeandika Pumba mkuu , Muasi anaua kila mtu kwann yy asiuliwe ? ukraine ni nchu huru ina haki zote za kuchagua nan awe rafiki na nani asiwe rafiki
 
Sasa makosa ya Marekani yana ipaje baraka Urusi kuivamia Ukraine ? Tumia akili acha undez
 
kwahiyo alshabab tusiwaue ili watuue sisi , si ndio?
 
Au kwanini asizivamie Lithuania na Latvia ambazo ni wanachama wa moja kwa moja wa NATO? Tena hizo nchi zinapeana mpaka na Russia.
ndo ujue Putin anaidanganya dunia , ana maslai yake Ukraine na sio inshu za kiusalama kama amavyodai , ingekuwa hivyo angekomaa Latvia na Estonia wasijiunge NATO
 
KOSA LA MAREKANI ADHABU ANAPEWA UKRAINE , HV UPO TIMAMU KWELI ?
 
Huu uzi wa Yericko Nyerere usiunganishwe ujitegemee namuunga mkono mtoa mada wanaoyaona makosa ya urusi kwanini hawayaoni ya marekani? We stand with Putin and russia.
AKili zako fyup sorry kukuambia hivyo , ya marekani ni past , na ss hv tupo current so tunadiscuss yanayotokea , Na hatupo hapa kusema either USA alikuwa right au wrong
 
Ww km sehem ya dunia ulifanya nn?
 
Sasa huyo mrusi ndio atangaza amani hujamwelewa mtoa shida kubwa Ni yule shetani wa magharibi anata kuutawala ulimwengu kwa matendo yake ya ovyo Kama vile oshaga, uonezi nk

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Htr kushangilia mauaji.. Pia kuunga mkono Putin (MTU mmoja) mwenye maamuzi ya peke yake ni zaidi ya htr maana hatujui kesho atasemaje au ankja na lipi.. Hizo silaha zikiwa chini ya MTU asiye aminika ni HOMA ya dunia
Ni Bora dunia kuisha kabisa lakini sio urusi kuanguka na kubaki na yule shetani wa magharibi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…