Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Tunaounga urusi mkono tupo wwngiRubbish, huwa nakuunga mkono mambo mengi lakini sikuungi kwa ujinga huu wa kuua watu wasio na hatia, kama mrusi ana nguvu kwanini asiende kuvamia Marekani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaounga urusi mkono tupo wwngiRubbish, huwa nakuunga mkono mambo mengi lakini sikuungi kwa ujinga huu wa kuua watu wasio na hatia, kama mrusi ana nguvu kwanini asiende kuvamia Marekani?
Ninyie wajinga pekeeTunaounga urusi mkono tupo wwngi
Ok tupo pamojaNaunga mkono hoja nasimama na puttin kwa hili
Wewe ulijuaje Marekani na Washirika wake wayahudi wanauwa watu?
Kwenye kipindi hiki ambacho watu wamenusurika na COVID-19, wanaanza kuuawa kwa mabomu tena?
Kama Marekani ananguvu kwa nini hamzuii Israel kuua wapalestina.Rubbish, huwa nakuunga mkono mambo mengi lakini sikuungi kwa ujinga huu wa kuua watu wasio na hatia, kama mrusi ana nguvu kwanini asiende kuvamia Marekani?
Sasa makosa ya Marekani yana ipaje baraka Urusi kuivamia Ukraine ? Tumia akili acha undezHata Mmarekani huyo huyo na 'Washirika' wake wakati wanaivamia Iraqi mwaka 2002/2003, kwa kisingizio cha kumuondoa Saddam Hussein! Aliua maelfu ya raia. Na mpaka leo hii Iraqi haina kabisa utulivu wa kisiasa.
Amefanya uonevu kama huo Afghanstan, Vietnam, Syria, Libya, na maeneo mengi tu ya dunia kwa kushirikiana na Washirika wake wa NATO. So haya mambo ni bora tukayaacha tu. Unaweza ukamlaumu na kumlaani huyo Putin, kumbe chanzo cha matatizo yote ni Marekani na NATO.
Balance of power, ndiyo inayo sababisha watu kuheshimiana duniani. Hivyo katika hili, Urusi hana namna. Lazima amuwajibishe kibaraka Zelensky.
Nyerere alikuwa na sababu za msingi , aya tupe Sababu zenye utimamu za Urusi kuvamia Ukraine?Kwani Nyerere alipovamia Uganda hakuna watu wasio na hatia??
ndo walimtuma Russia kuvamia Ukraine?Chanzo cha matatizo ni marekani na NATO
kwahiyo alshabab tusiwaue ili watuue sisi , si ndio?Hivi mmesoma vizuri UZI wa Yeriko au umeishai kusoma kichwa cha habari? Mbona jamaa kafafanua kwamba huyo rais wa Ukraine kaua sana na alikua anaendelea kuua sana na Urusi akawa anabeba mzigo wa wakimbizi??? Nashawishika kuamini kwamba hamjasoma UZI. Kwa maana ya upande unao unga mkono ni upi kati ya Ukrein na Urusi hilo sina tatizo nalo, kila mtu anaweza kubakia na mtazamo wake, nina shida na the way ulivyo weka maelezo yako maanake kama ni kutetea mauaji, ungeanza kumlaumu rais wa Ukrain kwanza
ndo ujue Putin anaidanganya dunia , ana maslai yake Ukraine na sio inshu za kiusalama kama amavyodai , ingekuwa hivyo angekomaa Latvia na Estonia wasijiunge NATOAu kwanini asizivamie Lithuania na Latvia ambazo ni wanachama wa moja kwa moja wa NATO? Tena hizo nchi zinapeana mpaka na Russia.
KOSA LA MAREKANI ADHABU ANAPEWA UKRAINE , HV UPO TIMAMU KWELI ?Watanzania wengi wanapenda ushabiki, hawapendi kusoma. Hawajui hata makubaliano kati ya urusi na marekani ambayo pia yalimlazimisha mrusi kuondoa silaha zake cuba.
Putin anatakiwa kuwalinda urusi tena alitakiwa kumpa ukraine kipigo cha maana ili nato na un wafikirie mara mbilimbili wanachotaka kuwafanyia urusi.
Hatukusikia chochote irak, libya. Syria . Yemen, ethiopia na kwingineko ambako raia wasio na hatia wanauawa. Ila sasa tunaona mpaka uefa na fifa wamekuja juu.
AKili zako fyup sorry kukuambia hivyo , ya marekani ni past , na ss hv tupo current so tunadiscuss yanayotokea , Na hatupo hapa kusema either USA alikuwa right au wrongHuu uzi wa Yericko Nyerere usiunganishwe ujitegemee namuunga mkono mtoa mada wanaoyaona makosa ya urusi kwanini hawayaoni ya marekani? We stand with Putin and russia.
Ww km sehem ya dunia ulifanya nn?Wakati Iraq, Afghanistan, Iran, Syria na Libya wakiachwa yatima wajane/wagane na magofu tulikuwa kimya tukimshabikia baba wa demokrasia.
Alivyoingilia uhuru na uchumi wa Cuba na Venezuela kisa tu Russia alikuwa na interests huko, tulikuwa tukimsifu kama super power!!
Leo hii Russia anafanya kutetea interests zake na kuondoa mianya ya adui kuweka silaha za maangamizi mpakani mwake, tunamuona mwendawazimu.
Binafsi naunga Russia mkono kwenye ku-neutralise Ukraine na kuharibu military infrastructure, lakini sio kuua civilians.
Sasa huyo mrusi ndio atangaza amani hujamwelewa mtoa shida kubwa Ni yule shetani wa magharibi anata kuutawala ulimwengu kwa matendo yake ya ovyo Kama vile oshaga, uonezi nkSawa mkuu Nami huyu mtoa mada nimemtoa maana kabisa kwa Kuja na mada ovyo kama hii, we need a peace as a world, mtoa mada inaonekana anafurahi mno kuona innocent peoples hasa akina mama na watoto wakiumia kutokana na vita hii iliyosababishwa na egos za politicians, na tusiongee mno kuhusu Ukraine [emoji1255] wakati jirani zetu Mozambique [emoji1174] wananchi wake wakiishi kwenye refugees camp ndani ya nchi yao uhuru na tunaonekana ni waongeaji wazuri kuhusu Ukraine ila hatuongei kabisa yanayotokea hapo capo Delgado na sasa Nassa.
Ni Bora dunia kuisha kabisa lakini sio urusi kuanguka na kubaki na yule shetani wa magharibiHtr kushangilia mauaji.. Pia kuunga mkono Putin (MTU mmoja) mwenye maamuzi ya peke yake ni zaidi ya htr maana hatujui kesho atasemaje au ankja na lipi.. Hizo silaha zikiwa chini ya MTU asiye aminika ni HOMA ya dunia
Basi utakuwa unaroho ya kwanini. Yaani roho ya hovyohovyo isiyotaka suluhuBadooo sijaona hoja mfanano wa case ya iraq , libya na tukio.la uvamiz wa urusi pale ukrain