Noti mpya tz
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 974
- 245
Sasa we dada alipokukula rafiki wa babako wa kwanza si ungeshtuka!!!Sasa ukaendelea tena!Then ukaamua kubobea!!sasa we kubadilika ni ngumu dada...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
survival for the fittest, the weak are always in trouble. Unyonge wa akili, mwili na roho ni mateso, tabu kubadili fikra potofu za mwanadamu.pole mwaya, nakuonea huruma sana ila ni mapito tu hayo. Unahitaji counseling maana utakuwa umeathirika kisaokolojia na ndio maana unawaona wanyama. Jaribu kutafuta counselling ingawa sijui vituo vyao.
Mcharuko!Yupo mtu kanieleza kuwa kuna Yaliyopita, yaliyopo na yajayo
sijui kwa yajayo lakini kwa sasa sielewi labda nionane na wataalam
wa saikolojia kama nilivyoelezwa lakini kiukweli michango mingi imenipa
moyo kiasi cha kupata hisia za mabadiliko ingawa si sana.
Unajua Asprin Kuna mengi sijayasimulia hapa ambayo na mimi nimeyafanya
lakini kutokana na ukatili wenu ndo nimekuwa hivyo. Kuna wakati tulikuwa
tunawawekea dawa wanaume wakilala tunawaibia chochote walichonacho
kwa usalama wangu na wenzangu sipendi kutoa mifano zaidi juu ya hili.
Basi tusamehe na sisi wanaume tulioponzwa na hayo mabaradhuli yaliyokufanyia undava!!!
emeeeeen! Praise the lord.
Mara nyingine unaweza kujiuliza kwanini mtu kachagua ID fulani, Unaweza kucheka, kuchukia au kubaki kawaida na maswali yako. Kwa upande wangu nastahili kuitwa/ kujiita mcharuko. Naongea kutoka moyoni kwa sababu naamini ni Mungu pekee ndo ananijua vizuri kwa wengine hapa jukwaani nitaendela kuwa kivuli.
Mwk 2001 nikiwa kidato cha kwanza nilifiwa na mama yangu mzazi. Nilikuwa mtoto wa pekee kwa baba na mama. Nikabaki na baba peke yake ambaye mara nyingi alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kisukari hadialipopoteza maisha miaka miwili baadae. Tayari maisha yalishakuwa magumu lakini baada ya kufariki baba ugumu ulizidi.
Mara nyingi nilikuwa naenda kuomba misaada kwa marafiki wa karibu wa baba wengi wao walinisaidia lakini wakaanza kunitongoza. Sielewi ni kwanini wakati baba yuko hai nilikuwa mtoto wao lakini baada ya kifo cha baba wakaanza kunifanyia hivyo. Asilimia 90 ya wanaume niliowaomba msaada walinitongoza. Nilikuwa sina jinsi. Wengi nilifanya nao...... lakini hawakunisaidia tena baada ya msaada wa kwanza
na wao kupata walichohitaji.
Toka Muda huo maisha yangu yamekuwa ni ya kuuza mwili wangu mpaka mwaka 2008 ambapo nilijiunga na chuo cha Elimu ya Biashara CBE. Hapo sikuwa na jinsi ndo nikaingia kwenye biashara rasmi ya uchangudoa. Sitatokea kumpenda mwanaume maisha yangu yote. Na hata pale nilipoleta thread kuhusu wanaume wafupi nilikuwa nimezungumza kutokana na uzoefu nilioupata kutokana na biashara hiyo.
Najitahidi kuileta akili yangu katika hali ya kawaida ili niwapende wanaume lakini nashindwa kwangu mwanaume ni mteja na mtu katili asiye na huruma. Nawachukia nawachukiakutoka moyoni. Rafiki wa karibu wa baba yangu ambao nimetembea nao mpaka sasa ni 5. Hivi kweli kuna haja ya kuwa na imani na wanaume?