Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

Kwanini nawahusisha Mkuu wa Wilaya na OCD Lindi kwenye kifo cha mtoto wangu...

Kaombe mahakama itoe kibali cha kufukua mwili wa marehemu ili ufanyiwe uchunguzi upya

Alafu kama ni ajali mbona hawakua na sababu ya kuficha maana ajali iliyosababisha kifo siyo kuua kwa kukusudia ni manslaughter
 
Pole sana mkuu kama mzazi inasikitisha sana, tatizo humu mmevamiwa na dot. Com,na vi tiss uchwara ambavyo vinajifanya ni semi God's, nchi imepoteza heshima na adabu yake, iam afraid hii case ina kila dalili itakua ni cold case soon, kama mzazi uamua mwenyewe how to revenge ushenzi na unyama huu, kumbuka kifo cha dada Akwilina, eti risasi imeenda juu na wakati wa kurudi ndio ikamuua ,huu ni uongo wa kinyama, kama upo nje ya royal families sahau haki yako, u need to push back mwenyewe, samahani kwa hili ila ndio ukweli wenyewe, unafiki sio mwema pole sana
 
Mkuu mbona mnyonge sana kiasi hicho?
Ukiwa mnyonge sana Dunia ya Sasa utaonewa mnoooo....!!!!

•Tukio la huyo Mama kufika eneo la tukio na kunyang'anywa simu

•Tukio la mwili wa Marehemu kuletwa usiku usiku

•Tukio la Marehemu kukutwa na jeraha mguuni lililoshonwa nyuzi 12

Ni ishara tosha kuwa kilichomuua sio Malaria, Kuna kitu nyuma ya pazia. So lazima pazia liondolewe ili kilichoko nyuma kionekane. Dah! Mlikubali vip kuuzika mwili wakati mazingira ya kifo chake yanatatanisha? How?

MNGEGOMA KUUZIKA MWILI MPAKA KIELEWEKE

MKUU wa shule
MKUU wa wilaya
MKUU wa Polisi wilaya

Lazima wawajibishwe.

Then vyombo vya habari siku hz vimekuwa chawa wa Serikali, wakubwa, chama fulani

POLE SANA MKUU KIFO CHA HUYO BINTI KIMENIUMA
 
Kaombe mahakama itoe kibali cha kufukua mwili wa marehemu ili ufanyiwe uchunguzi upya

Alafu kama ni ajali mbona hawakua na sababu ya kuficha maana ajali iliyosababisha kifo siyo kuua kwa kukusudia ni manslaughter
Acha uongo, unaendesha gari huku ukiwa umelewa, unagonga mtu na kumwuua halafu unaleta ushenzi eti ni kuua bila kukusudia, angekua dada yako ungesema haya, tuna cold case's nyingi mno nchi hii including Mr.Saanane na wana JF wamesahau na kumove on
 
Tatizo Ili jambo linaweza kutisha hivi hivi bila ya Kufika muafaka, ukikuta wakuu wa Wilaya wajinga na viongozi wajinga wajinga hawawezi kuwajibishana, Hapo mpaka wazuri mkuu atokee aunde tume kwa ajili ya uchunguzi tofauti na Hapo usitegemee hao maaskrari kukusaidia kitu.
 
Acha uongo, unaendesha gari huku ukiwa umelewa, unagonga mtu na kumwuua halafu unaleta ushenzi eti ni kuua bila kukusudia,angekua dada yako ungesema haya, tuna cold case's nyingi mno nchi hii including Mr.Saanane na w
Mpelekee mwalimu wako huu upuuzi uliouandika ili ajione ni jinsi gani alipoteza muda kumfundisha mpumbavu
 
Hiki nini tena huko Lindi???!!!?????
Mleta mada weka wazi habari yote kama ilivyo ili umma wote ujue nini hasa kimetokea, na ili upate msaada au ushauri uni alikosoma mwanao walikuwepo kwenye msafara?Je, Walitoa neno gani kama salamu za rambirambi??
Eiza hujawahi kufiwa na mtu wa karibu au hujasoma kisa chote kilichoandikwa
 
Pole sana mkuu ..

Screenshot_20230918-230626.png
 
Nakushauri upeleke malalamiko Yako Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Hawa nadhani wanaweza kukusaidia, waliwahi kusaidia kesi ya mwanafunnzi WA UDOM na taarifa Yao waliioto kwa Umma kama sikosei.
 
Kaombe mahakama itoe kibali cha kufukua mwili wa marehemu ili ufanyiwe uchunguzi upya

Alafu kama ni ajali mbona hawakua na sababu ya kuficha maana ajali iliyosababisha kifo siyo kuua kwa kukusudia ni manslaughter
Kama ni kweli haya unayoongea basi hicho kifo ni zaidi ya ajali kuna mengi nyuma ya pazia.
anyway
 
Mpelekee mwalimu wako huu upuuzi uliouandika ili ajione ni jinsi gani alipoteza muda kumfundisha mpumbavu
Uko sawa kwa maelezo yake huyu kuna linalofichwa, ajali kama ajali haifichwi hivi, kuna jambo na hapo anapouliza swali binti alitokaje shule kwa ruhusa ya nani hapo ndo penyewe, apeleleze kwa wanafunzi wenzie lazima wapo wanaoijua story,
 
Back
Top Bottom