Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
11,662
Reaction score
6,888
Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu.

Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo ukilinganisha na uzuri? Mimi naona kama vile CCM inavutana na Serikali yake - mpasuko!

Hakuna mbadala.

CHADEMA ni wasusasji na hawana sera.

Makelele tu
 
Mpaka leo Marekani ina matatizo ya ndani, ikiwamo kuwa na homeless people(watu wasio na makazi), na nchi ina uhuru kwa takribani miaka 200, seuze sisi uhuru wa nusu karne! Na uingereza wana miaka mamia wakiwa huru, lakini wana matatizo.
 
Hedgehog (Karunguyeye)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…