Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Uislamu ni vita mkuu hawa jamaa wao ukiuwa ndo unaingia peponi..
 
Kafiri unapata tabu🤣🤣majambazi nyie
Tumemuibia nani,mtume wenu tumewaachia,Allah wenu tumewaachi,hatuna shida naye kabisa.

Lakini bado mnaua watu,huko Russia Allah anawakilishwa na waislam,sijui na warusi nao wameiwaibia nini!!!!
 
Umeandika sana tena vizuri tu. ila kwa uelewa wangu, kuna mambo kadhaa nataka nikujulishe..
1. Dola
2. Uislamu na Ugaidi.

Dola
huwezi kushika dola bila ya kuwa na nguvu, na huwezi kuwa na nguvu mpaka upigane (vita moto au baridi) na ushinde. Hivi vita vya dola vilikuwepo zama na Zama, ambapo vilihusisha tofauti za itikadi ukiachilia mbali itikadi ya dini. yaani vita vilikuwepo kwasababu ya tofauti kabila, mila na desturi. wachina kwenye jamii zao walipigana sana na kuchinjana sana, kadhalika hata sisi waafrika katika jamii zetu watu walipigana sana, mfano hai mpaka sasa Tanzania iko vita vya mara kwa mara baina ya wakulima na wafugaji na watu wanauawa kikatili pengine taarifa hatuzipati kwa wakati tu.

kihistoria Dola ya Uislamu ilitawala kwa miaka mingi sana zama za nyuma, Mfano ukirijea historia Othman ambaye ni Nabii wa M/Mungu (Ottoman empire) ule ni utawala wa kiislamu, ambao ulidumu kwa muda mrefu zaidi baada kuwashinda maadui zao ( ambao wale wasiokuw waislamu) kwa vita. Hivyo dola yake (yaani Uislamu) ilikuw na nguvu sana.

Kwahiyo kinachondelea sasa, hakuna ubishi kwamba Dunia ipo chini ya Roman Catholic yaani utawala wa kikristo hivyo hawawezi kuruhusu kwa namna yoyote ile kuona sehemu ina stawi kwa utawala wa kiislamu, kwa namna yoyote ile lazima machafuko yatokee ili Roman ( ukristo) waendelee kutawala. na isivyobahati sio mara zote wanatumia mitutu ya bunduki, wakati mwingine wanaingiza siasa kinzani mfano, Hii Demokrasia. mkishindwa sasa ndio vita moto inakuja. Demokrasia ni mfumo wa siasa ambao unapingana na ule wa uislamu kwahiyo ukifuata tu umeingia kwenye mfumo hakuna shida ndio nchi kama tanzania na nyinginezo tunaendelea kustirika kwa namna hiyo.

Uislamu na Ugaidi.
kuna usemi usemao "ukitaka kumua Mbwa mpe jina baya" yaani mwite Mbwa koko atashambuliwa na mtaa mzima. Uislamu umefikishwa hapo kwa kuwatumia waislamu wenyewe pale ambapo mataifa yenye nguvu yanapofadhili vikundi vya kiislamu na kisha kuzusha propaganda kali na kujikuta wenyewe kwa wenyewe wanapigana. yaani wanagonganishwa vichwa tu mfano hai ni kile kilichotea Libya , Wananchi wamechonganishwa na raisi wao ili wasifikie lengo lao la kuishi katika misingi ya kiislamu.

Mwisho kabisa, machafuko haya yaatendelea mpaka pale Kanisa litakopofanikiwa kufanya Total dominance agaisnt Islam,..ni mchakato wa damu kumwagika tu.
 
Kafiri unapata tabu🤣🤣majambazi nyie
Ewe kafiri mfuasi wa mnyazi😅

Dini yako umejaa uonevu
(Sahih Muslim juzuu ya 3 kitabu cha 23 na.5370-5371, uk.1180.)
Unaweza kung'oa jicho la mtu kama anaangalia ndani ya nyumba yako bila ruhusa yako.
 
Kijana nakupa Phd ya uelewa ,safi sana!
 
Ebu fikiria wale viongozi pale vatican 90% ni mashoga ndio wameanzisha ukristo 🤣🤣
Wewe sio wa kwanza, mungu wako ndie kakurithisha uongo
Allah ni mwenye njama/mwongo. Sura 3:54.

Je uongo huu ulikuwa ni moja ya njama za Allah, njama za Shetani, au ubakaji aliofanya mud kwa mtoto wa miaka tisa haukuwa njama?
 
Wewe sio wa kwanza, mungu wako ndie kakurithisha uongo
Allah ni mwenye njama/mwongo. Sura 3:54.

Je uongo huu ulikuwa ni moja ya njama za Allah, njama za Shetani, au ubakaji aliofanya mud kwa mtoto wa miaka tisa haukuwa njama?
Makafiri ndio chanzo cha vita nchi za watu🤣🤣🤣
 
Makafiri mnataka kuitawala dunia ,lazima vita kila siku 🤣🤣🤣.
Mara mgombane wenyewe
Umelaaniwa na yule taperi wenu mud.🤣
Muhammad aliwalaani watu kwa sababu ya hasira zake za haraka haraka (Sahih Muslim juzuu ya 4 kitabu cha 30 na.6297, uk.1373.)
 
Makafiri mnataka kuitawala dunia ,lazima vita kila siku 🤣🤣🤣.
Mara mgombane wenyewe
Muhammad alitaka kufanya vitisho vya mashambulizi [ya kijeshi] dhidi ya Wakristo wa Uarabuni huko Syria na Rumi.

( Sahih Muslim juzuu ya 4 kitabu cha 35 na.6670, uk.1445.)
Hapo huyo mud alitaka kueneza amani?
 
Naomba uthibitisho wa kimaandiko kuwa ukristo ni ubepari
 
We kafiri Accumen Mo kumbe ni mnafiki.

Endapo Muislam atakufa na wengine hawatapigana vita ya njia ya Allah (Jihad), basi watakuwa wamekufa kifo cha unafiki
(Sahih Muslim juzuu 3 kitabu cha 19 na.4696 uk.1057)

Jesus – Praises Dishonesty


In Luke 16 – the so-called "Parable of the Dishonest Servant" – Jesus, with approval, describes a rich man praising the dishonesty of a servant. The steward, accused of waste, faces dismissal so he dreams up a strategy to secure his future.



The "they" refers to each of his master's debtors, whom the steward connives with to mark down their debts. Yet apparently:




Mr 'Perfect Jesus' adds:




Wow! – not one for the Sunday School. But then JC not only praises dishonesty he is also, it seems, quite able to be dishonest. According to John 7, Jesus and his gang were strolling in Galilee and the merry men urged the boss to wrought wonders in "Jewry" at the Feast of Tabernacles. JC declines:


"I go not up yet unto this feast: for my time is not yet full come." – John 7.8.


Hardly had the followers departed when the superman does precisely what he said he wouldn't do:


 
We kafiri Accumen Mo kumbe ni mnafiki.

Endapo Muislam atakufa na wengine hawatapigana vita ya njia ya Allah (Jihad), basi watakuwa wamekufa kifo cha unafiki
(Sahih Muslim juzuu 3 kitabu cha 19 na.4696 uk.1057)

Jesus – NOT so compassionate


After the disruption of families, amputations, the fate of the swine and the odd fig tree, one might also wonder if Mr Loving Kindness really has a sense of compassion. Surely he loves everybody? Bizarrely, JC instructs:


"Follow me; and let the dead bury their dead." – Matthew 8.22.


This was said to a disciple who had just lost his father and wanted time to bury him! Even the hardest-hearted employer would give time for your father's funeral!


An insensitive Jesus leaves Lazarus lying in his grave for four days so that the miracle of his resurrection appears more impressive.


In another incident the hapless Judas Iscariot questions why Jesus has expensive ointment (a pound of "spikenard" worth 300 denarii, or a year's wages) rubbed on his feet (and wiped off with a woman's hair!). Surely, says Judas, the money could have gone to the poor?


"In a time where the poor were bled to death without an income tax calculator, this seems to be a very cruel action on his part."


In a retort that must always have delighted the plutocrats of the Church, JC says:


"For the poor always ye have with you; but me ye have not always." – John 12.8.


Well, we could all say that! Why not do something about poverty?


Judas, of course, like the other disciples, is a Jew and the early church took pains to distance itself from this perfidious people. Is JC himself an anti-Semite? Certainly he dissociates himself from the Jews, as if they were not his own people:




Guess who "the children" are? Did the Jews ever have a chance?


It is also worth noting that the "great moral teacher" at no point condemns the practice of slavery, quite a shortcoming for the supposed saviour of mankind. Indeed, the advocacy of a belief that everything is by God's will – including tyranny and enslavement (and that happiness is to be realized in heaven after death), is intolerably immoral.
 
We kafiri Accumen Mo kumbe ni mnafiki.

Endapo Muislam atakufa na wengine hawatapigana vita ya njia ya Allah (Jihad), basi watakuwa wamekufa kifo cha unafiki
(Sahih Muslim juzuu 3 kitabu cha 19 na.4696 uk.1057)


Jesus Christ – A Superman for All Seasons


Odd kink





Whether man, god or fabrication, why on earth does JC require a woman to wipe his feet with her hair?



"Then took Mary a pound of ointment of spikenard, very costly, and anointed the feet of Jesus, and wiped his feet with her hair."
– John 12.3.
 
We kafiri Accumen Mo kumbe ni mnafiki.

Endapo Muislam atakufa na wengine hawatapigana vita ya njia ya Allah (Jihad), basi watakuwa wamekufa kifo cha unafiki
(Sahih Muslim juzuu 3 kitabu cha 19 na.4696 uk.1057)


Fabrication


"The gospel story is an artificial, non-historical work. It has been fabricated from source materials that can be identified and traced to their incorporation in the gospels. There is not a particle of hard evidence that 'Jesus of Nazareth' ever existed."

– Harold Leidner (The Fabrication of the Christ Myth)
 
ukisoma "suratul ANFAR" utaelewa.....kuna sehemu wanasisistizwa" strke them hard,kill them,if thy are many i will make see them as few and you are few i will multiply you in their eyes"''''JIHAD!
 
Wewe kafiri unataka utufundishe bible sisi!!!!
Bible inamuita kafiri mtu asiyemtambua Yesu,quran inamuita kafir mtu asiyemtambua Mungu,
Ukituliza akili hapo utagundua umeachwa kafiri na chungu ya 12 ukila jioni.


KAFIRI NI MKRISTO MWENYE KUMUABDU BINADAMU MWENZIWE NA KUSEMA MUNGU ANA UTATU.

Hatuwaiti hivyo kwa utashi wetu bali ni MwenyeziMungu mwenyewe ndo kasema katika kitabu kitakatifu cha Quran 5:72-73

QURAN 5:72-73

72. Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu!

Na hali Masihi mwenyewe alisema:

Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi.

Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni.
Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.

TAFSIRI:

Wenye kudai kuwa Mwenyezi Mungu yu katika Isa bin Maryam hata akawa yeye Mungu, kama wasemavyo Wakristo hii leo,

hakika wamekufuru! Yeye Isa hana dhambi ya haya, kwani hakupata kudai hivyo hata mara moja.

Bali yeye aliwaamrisha Wana wa Israili wamsafie imani Mwenyezi Mungu peke yake kwa kusema:

Hakika Mwenyezi Mungu ndiye aliye niumba mimi na nyinyi, na ndiye anaye niendeshea mambo yangu yote, na kwamba kila mwenye kumshirikisha Mwenyezi Mungu malipo yake ni kuwa hatoingia Peponi kabisa,
bali ataingia Motoni, kwa kuwa amekiuka mipaka ya Mwenyezi Mungu.

Na mwenye kuvunja mipaka yake hataepuka na adhabu.

NaYesu kasema: "Sikia, Israeli, Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja." Marko 12.28.

"Mimi siwezi kufanya neno mwenyewe".Yohana 5.30 "

Ninapaa kwenda kwa...Mungu wangu naye ni Mungu wenu." Yohana 20.17 )

73. Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja.
Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru
 
 
 


'Son of God?'


This description applies to many different persons in Old Testament scripture –


• Angels (Job 38.7);
• Kings of Israel (2 Sam. 7.14);
• Israel as a whole (Hos. 11.1);
• Righteous Persons (Wis. of Sol. 2.15)


– Take Your Pick!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…