Kwanini nchi tajiri za Waarabu hazisaidii nchi masikini wakati wana utajiri usiomithilika?

Thibitisha,
Misaada ya Wamarekani, Ulaya, Japan na Korea inaonekana. Mbona hiyo ya waarabu hatuioni??
Baadhi ya mifano kwa Ushahidi (nitaendelea ku update hii comment)
1. Zaidi Ya Bilioni 500 ku improve barabara ya Morogoro Dodoma

2. Nyahua - Chanya road zaidi ya Bilioni 100

3. Misaada ya Hospitali kama Mashine ya Ganzi ya Moyo, vifaa ya kupasua watoto wenye Vichwa vikubwa, Machine za watoto zisizo na hewa, ujenzi Hospitali ya Handeni Tanga na uletaji madaktari Bingwa kusaidia Upasuaji watoto wa masikini

4. Kwa ujumla Kuwait ameshatoa $200B+ ambazo ni zaidi ya Trilioni 500 za kitanzania kwa Africa Nzima.

Nikukumbushe tu Kuwait ni ki inchi kidogo kama wilaya tu ya Tanzania.
 
Hawaja hustle wala kutokwa jasho, walipata bahati ya mtende tu kuwa katika sehemu yenye mafuta na gas nyingi zaidi duniani na baadaye mafuta na gas vikawa ndizo bidhaa zinazohitajika zaidi duniani.
Je waafrika hatujapata bahati ya mtende ya kuwa na rasilimali za kila aina ukitoa tu hayo mafuta?

Congo huko wanavuna yale madini ya Coltan. Malighafi muhimu sana kwenye viwanda vya utengenezaji Simu.

Lakini ukicheki hakuna faida yeyote wanayoipata wakongo man na waafrika kwa ujumla zaidi ya vita na machafuko yasiyoisha.

Mtu mweusi hata aende ulaya au Amerika hana mchango wowote duniani zaidi ya kutaka kuhudumiwa na kusaidiwa tu!!
 
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika soverign wealth funds zao.

Familia za kifalme zinamiliki ukwasi wa matrilioni. Pamoja na haya hizi nchi wachoyo sana na hawafanyi hisani kabisa za maendelo, sijawahi kuona msaada wanaotoa kwa nchi masikini za Afrika zaidi ya kujenga visima vya maji viwili/ vitatu na kugawa msaada wa tende.
Si lazima wasaidie, plus msaada si lazima
 
Pamoja na huo utajiri wote bado tunadiliki kuwauzia bandari zetu na hifadhi zetu za wanyama pori wakawinde.

Halafu mmarekani anayetusaidia tunamuona farasi kisha anasitisha misaada yake tunaanza kumlaumu as if ni haki yetu.
 
Je waafrika hatujapata bahati ya mtende ya kuwa na rasilimali za kila aina ukitoa tu hayo mafuta?

Congo huko wanavuna yale madini ya Coltan. Malighafi muhimu sana kwenye viwanda vya utengenezaji Simu.

Lakini ukicheki hakuna faida yeyote wanayoipata wakongo man na waafrika kwa ujumla zaidi ya vita na machafuko yasiyoisha.

Mtu mweusi hata aende ulaya au Amerika hana mchango wowote duniani zaidi ya kutaka kuhudumiwa na kusaidiwa tu!!
Congo imejaa malighafi za kufanya anasa(luxury) sio mahitaji muhimu na ya msingi kwa mabilioni ya binadamu.
 
Baadhi ya mifano kwa Ushahidi (nitaendelea ku update hii comment)
1. Zaidi Ya Bilioni 500 ku improve barabara ya Morogoro Dodoma

2. Nyahua - Chanya road zaidi ya Bilioni 100

3.
Hii ni mikopo
 
Congo imejaa malighafi za kufanya anasa(luxury) sio mahitaji muhimu na ya msingi kwa mabilioni ya binadamu.
Je hayo mafuta ya waarabu ni mahitaji ya muhimu naya msingi kwa mabilioni ya binadamu?

Je mafuta ni hitaji la msingi na la muhimu kwa mabilioni ya binadamu?
 
NDIYO
 
Misaada yao mikubwa ni kut
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika soverign wealth funds zao.

Familia za kifalme zinamiliki ukwasi wa matrilioni. Pamoja na haya hizi nchi wachoyo sana na hawafanyi hisani kabisa za maendelo, sijawahi kuona msaada wanaotoa kwa nchi masikini za Afrika zaidi ya kujenga visima vya maji viwili/ vitatu na kugawa msaada wa tende.
Msaada wao mkubwa ni kusambaza misikiti kila baada ya mita 100 huku Singida na Kondoa.
 
Je mafuta ya waarabu pekee ndio ya muhimu sana na ya msingi sana kwa mabilioni ya watu duniani?

Je kila nchi inategemea hayo mafuta ya waarabu kama hitaji lao la msingi na muhimu kwa mamilioni ya raia wake?
 
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika soverign wealth funds zao.

Familia za kifalme zinamiliki ukwasi wa matrilioni. Pamoja na haya hizi nchi wachoyo sana na hawafanyi hisani kabisa za maendelo, sijawahi kuona msaada wanaotoa kwa nchi masikini za Afrika zaidi ya kujenga visima vya maji viwili/ vitatu na kugawa msaada wa tende.
Serikali zetu chini ya CCM kwa Tanzania mfano,tuna dola za kijinga kijinga tu,viongozi wako madarakani na hawajui namna nzuri ya kumobolize our resources,yaani una resources zote na bado unataka misaada ni Akili TIMAMU kweli hiyo,Marais kama SAMIA kazi yao ni kupokea tuzo na kuzurura kuombaomba huko nje,tunajenga madarasa ndio sasa tunafundisha nn sasa humo madarasani kinachoendana na ulimwengu unakokwenda badala yake fedha za Umma zinanunua mav8 ya milioni 500.kompyuta tu Serikali ya CCM imeshindwa kupeleka mashuleni kazi kubwa ni ufisadi na viongozi kuishi maisha ya anasa tu na kutafuta sifa za kijinga na kipumbavu tu.
 
Achana na mawazo ya kusaidiwa kwa nchi za Africa sisi tuna Kila kitu ni suala la usimamizi tu na kukosa uzalsndo ndilo linatuangusha
 
Thibitisha,
Misaada ya Wamarekani, Ulaya, Japan na Korea inaonekana. Mbona hiyo ya waarabu hatuioni??
Tumemaliza Kuwait tuguse na wengine
1. SAUDI toka 1975 Wametoa $10B Africa kwa Nchi 49 kusaidia, Elimu, Afya, Uchukuzi na mawasiliano

2. Kama Bilioni 7 usd Toka UAE kuja Africa

Kiujumla Miaka 10 iliopita Nchi za Gulf investment zote, Misaada, Mikopo, uwekezaji mwengine etc ni $100B,

Ki nchi kama UAE kina investment kama 1/3 ya Investment za Ulaya nzima kwa Africa.
 
Serikali zetu chini ya CCM kwa Tanzania mfano,tuna dola za kijinga kijinga tu,viongozi wako madarakani na hawajui namna nzuri ya kumobolize our resources,yaani una resources zote na bado unataka misaada ni Akili TIMAMU kweli hiyo,Marais kama SAMIA kazi yao ni kupokea tuzo na kuzurura kuombaomba huko nje,tunajenga madarasa ndio sasa tunafundisha nn sasa humo madarasani kinachoendana na ulimwengu unakokwenda badala yake fedha za Umma zinanunua mav8 ya milioni 500.kompyuta tu Serikali ya CCM imeshindwa kupeleka mashuleni kazi kubwa ni ufisadi na viongozi kuishi maisha ya anasa tu na kutafuta sifa za kijinga na kipumbavu tu.
Hata uarabuni kuna ufisadi mkubwa sana na watawala kuishi kwa anasa. Tawala za kifalme zimekuwa mabilionea kwa kuchota pesa za mafuta ila kwa sababu pesa ni nyingi sana bado zinabaki nyingi tu za kufanya maendeleo na kuweka katika akiba ya nchi.
 
Tumemaliza Kuwait tuguse na wengine
1. SAUDI toka 1975 Wametoa $10B Africa kwa Nchi 49 kusaidia, Elimu, Afya, Uchukuzi na mawasiliano
Sasa hii ni pesa gani kwa miaka 50 kwa nchi 50?! Hii si pesa ya mbuzi tu! Hii ni dharau.
 
Tupe mlinganisho Na kwengine,

Mfano hio $100B niliokupa ya Gulf last decade mlinganisho wake na Ulaya (nchi 27 za EU ni €150B ambayo ukitafuta means per country ni kubwa kwa Nchi Za Gulf.

Unaweza na wewe kwa Mwaka ukatuambia EU na wengine wanatoa kiasi gani? Mfano hizi data za 2025 EU Wametoa Euro milioni 500 tu (nchi 27) kwenye Humanitarian Aid Africa. Ambazo ni Chini ya Euro milioni 20 ukitafuta average Kwa Nchi

Halafu na hio kauli yako kwamba mtu Anatoa Trilioni zake 20 anakupa wewe unaita pesa mbuzi na kakudharau inaonesha wewe ni Binadamu wa aina gani, una haki ya kuishi kwenye majalala zaidi ya binadamu waliostaarabika.
 
Baadhi ya mifano kwa Ushahidi (nitaendelea ku update hii comment)
1. Zaidi Ya Bilioni 500 ku improve barabara ya Morogoro Dodoma

2. Nyahua - Chanya road zaidi ya Bilioni 100

3. Misaada ya Hospitali kama Mashine ya Ganzi ya Moyo, vifaa ya kupasua watoto wenye Vichwa vikubwa, Machine za watoto zisizo na hewa, ujenzi Hospitali ya Handeni Tanga na uletaji madaktari Bingwa kusaidia Upasuaji watoto wa masikini

4. Kwa ujumla Kuwait ameshatoa $200B+ ambazo ni zaidi ya Trilioni 500 za kitanzania kwa Africa Nzima.

Nikukumbushe tu Kuwait ni ki inchi kidogo kama wilaya tu ya Tanzania.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu usirudie tena kupoteza muda wako, mijitu mingine bila ya kuona makontena ya condom na mabox ya ARV hua hayahisi kua yamesaidiwa.
 
Back
Top Bottom