Kwanini nchi tajiri za Waarabu hazisaidii nchi masikini wakati wana utajiri usiomithilika?

Kwanini nchi tajiri za Waarabu hazisaidii nchi masikini wakati wana utajiri usiomithilika?

Zijitolea sana issue za spiritual, kujenga misikiti and related issues, ukiwa uplifted spiritually utapata maendelea ya kiuchumi
Nenda kwa Mwamposa uone kama waumini wengi wana maendeleo ya kiuchumi.
 
TAFUTA HELA KIJANA!!!

HAKUNA CHA BURE HAPA DUNIANI.TENA KATI YA WATU WA KUSHUKURIWA SANA NI HAWA VIUMBE WA KUITWA WAZUNGU. BILA HAO MWAFRICA MPAKA KESHO BADO ANGEENDELEA KUWA KUNDI LA MNYAMA.

📌📌WAAFRICA FANYENI KAZI,ACHENI UZEMBE!!!
 
Equatorial Guinea wana mafuta ya kutosha vibatari, Hizo nchi nilizokutajia zina mafuta kiasi kwamba watawala wake wanachota pesa kujihamishia kwenye akaunti zao binafsi na bado zinabaki pesa za kufanya maendeleo na kuweka akiba.
Nyie waafrica hata mngepewa PEPO,bado mngeshindwa kuishi vizuri na kustarehe.

📌📌📌📌Mwafrica ni kiumbe zaifu. Usiumize sana kichwa hata hayo mafuta mngepewa na mngehamishiwa jangwani bado mngelia jangwani maisha magumu na mngeshindwa kuyatumia hayo mafuta😀😀😀😀.

#WAAFRICA NI LAAANA!!!!
 
Nenda kwa Mwamposa uone kama waumini wengi wana maendeleo ya kiuchumi.
..ni population representative of Tanzanians, rich, educated, middle class, poor, sick etc
 
Leo hii ukiwahamisha waafrika wote hapa barani Afrika ukawapeleka Ulaya na Amerika, Kisha ukawaleta wazungu hapahapa Afrika.

Nakuhakikishia baada ya miaka mitano, Afrika inakuwa tajiri vibaya mno. Halafu Ulaya na Amerika inakuwa maskini tena. Miafrika itarudi tena hapa Afrika kuja kuwalilia wazungu wawasaidie.

Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
EIMEEEEEEENNNNNNNNN!!!

📌📌📌WAAFRICA NI LAANA!!!
 
Muarabu akikupa kitu utashika ukuta... Anyways by nature wana roho mbaya na roho za kimasikini, ndio maana nchi zao zina utajiri ila maisha yao ni upuuzi mtupu
 
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika soverign wealth funds zao.

Familia za kifalme zinamiliki ukwasi wa matrilioni. Pamoja na haya hizi nchi wachoyo sana na hawafanyi hisani kabisa za maendelo, sijawahi kuona msaada wanaotoa kwa nchi masikini za Afrika zaidi ya kujenga visima vya maji viwili/ vitatu na kugawa msaada wa tende.
Acha uzushi wewe, mbona wanatuleteaga Tende gunia zima wakati wa Idd?
 
Tumemaliza Kuwait tuguse na wengine
1. SAUDI toka 1975 Wametoa $10B Africa kwa Nchi 49 kusaidia, Elimu, Afya, Uchukuzi na mawasiliano

2. Kama Bilioni 7 usd Toka UAE kuja Africa

Kiujumla Miaka 10 iliopita Nchi za Gulf investment zote, Misaada, Mikopo, uwekezaji mwengine etc ni $100B,

Ki nchi kama UAE kina investment kama 1/3 ya Investment za Ulaya nzima kwa Africa.
Baba -Mwajuma ushukuriwe sana sana sana yaani sana.
Umefanya jambo la maana sana kuwaumbua hawa jamaa wenye chuki na waarabu bali na waislamu wote.
Moja ya misaada toka serikali ya Saudi Arabia hapa nchini ni mashine 62 za kusafisha damu kwa watu wenye matatizo ya figo (dialysis machines ) ambazo zilipokelewa na aliyekuwa waziri wa afya Dr Faustine Ndungirire na hapari hii upo kwenye ukurasa wa Instagram wa dk Ndungirire mwenyewe na pia Zanzibar walipewa mashine hizo 17 za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo (dialysis machine ) kwa ajili ya hospitali za Zanzibar na habari hii upo kwenye tovuti (website) ya serikari ya mapinduzi ya Zanzibar.
Serikali ya Saudi Arabia imewahi kufadhili safari ya watoto wanne mapacha waliozaliwa wameungana wawiliwawili kwenda kutibiwa nchini Saudi Arabia ambako walikaa huko mwaka mzima .
Mambo ni mengi ambayo nchi za kiarabu zimeisaidia Tanzania na nchi nyingine masikini au zenye migogoro kama somalia, Palestine, Ukraine nk ila yanafichwa ili isije kuonekana mwarabu naye ni mtu katika watu.
Lakini kwa sababu mleta mada kasema uongo sisi tutaweka ukweli hadharani inshaa Allaah.
 
Saudi Arabia imesaidia nini Zambia?
 
Kimsingi Afrika ni tajiri kuliko mabara mengine. Msaada pekee tunaohitaji ni kubadilishwa akili zetu ili tujitambue. Hadi leo kwenye nchi za Afrika kuna sehemu zina madini bado hayajachimbwa kabisa.... Nigeria ina mafuta mengi kuliko nchi nyingi za kiarabu ila raia wake ni maskini kupindukia. Hata hapa jirani Zambia kuna madini kibao ila ndo hivyo wapo kama sisi.
 
Nyie watu jaribuni kutafuta taarifa, uchumi wa Brazil sekta ya huduma ndio inayoongoza kifuatiwa na viwanda, Thailand ni uchumi wa viwanda, Ukraine ni viwanda, coal na metals
Ww hutakiwi kuangalia ni kiasi gani kilimo kinachangia pato la nchi hizo bali unacho takiwa kuangalia ni nchi hizo zinaingiza kiasi gani cha pesa kutokana na sekta ya kilimo.
Mfano Uturuki inaingiza zaidi ya $15bilion kila waka kutokana na mazao ya kilimo vipi hiyo hela tungekuwa tunaipata sisi tungekuwa na haja ya kulilia misaada hiyo unayo itaka?
 
Saudi Arabia imesaidia nini Zambia?
Kwani misaada iliyoitoa kwa Tanzania, Yemen, Somalia, Palestine , Ukraine na Iraq haitoshi hadi iisaidie Zambia?!
Hata hizo nchi za magharibi hazijasaidia kila nchi bali misaada hutegemeana pia na maelewano na mawasiliano kati ya nchi inayotoa msaada na inayopokea msaada.
 
Zinasaidia misaada mikubwa sana unless umeandika huu uzi bila kufanya Research,

Nchi kama Kuwait ina misaada mingi mno yenye tija kushinda hayo Mataifa makubwa ambayo wewe unahisi yanasaidia

Matrilioni kwa matrilioni ya hela kuanzia Barabara, Humanitarian Aids, Equipments za Hospitali za Serikali, Biashara, Hadi Mauaji ya Albino ni Kuwait Ali fund ukomeshwaji wake.
uWOngo
 
Nchi za Waarabu za Saudi Arabia, Qatar, UAE, Kuwait, Oman na Bahrain ni nchi tajiri sana, hazina madeni na zina akiba ya matrilioni ya pesa kutoka kwenye mafuta na gas inayozihifadhi katika soverign wealth funds zao.

Familia za kifalme zinamiliki ukwasi wa matrilioni. Pamoja na haya hizi nchi wachoyo sana na hawafanyi hisani kabisa za maendelo, sijawahi kuona msaada wanaotoa kwa nchi masikini za Afrika zaidi ya kujenga visima vya maji viwili/ vitatu na kugawa msaada wa tende.
We are getting Arab Money.
 
Mbona wanajenga misikiti na kutuma tende.
 
Siku Moja Shekhe Mwaipopo alisema yeye ni Msema kweli, Waislam wa Saudia ni wanafiki.

Akasema sehemu yoyote walipofika watajenga Msikiti na bomba la maji ya kupiga uzu tu

Akasema huwezi kuwaona wanajenga Shule, Hospitali, Barabara wala Kuchimba kisima cha maji cha jamii.

Hiyo video iko Youtube
Mwaipopo ni mkurupukaji tu sawa na mleta mada . Ukiingia mitandaoni kuna ushahidi wa kutosha kuonyesha misada mingi ambayo Saudi Arabia wameitoa kuzipa nchi Masikini na zile zenye migogoro.
 
Back
Top Bottom