Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Vatican karibia yote lile ni kanisa ni kasehemu kadogo sana, utajengane Msikiti ndani ya kanisaVatican haiogopi Waislam. Nchi yenyewe ni ndogo sana ina watu wasiozidi 800. Eneo lote la nchi halizidi 0.4M² na lote limejengwa sasa sijui mtaenda kujenga wapi. Ila Roma ipo Misikiti mingi tu inatosha kuhudumia Waislam.
Vip somalia, Chad, mali, Niger nchi za ki-islamu zinashida ya kufa mtuPamoja na ishu ya kuulinda uislamu, still bado uislamu ni mfumo bora Sana wa kuongozea nchi na kuleta haki na usawa kwenye Jamii, mfano hai nchi za kiislamu za afrika kaskazini ndio pekee ambazo wananchi wake wananufaika na kodi zao na awaisomi Sana namba kama wananchi wa nchi zingine zisizo za kiislamu africa,
Sasa Mbona idadi ya hao Africa kaskazin wanazamia ulaya kutafuta maisha bora kwenye nchi za kikristo? Idadi kibwa ya wamoroco wako Uholanzi na ubelgiji na uhispania. Idadi kubwa ya Algeria Tunisia wako ufaransa. Na ukija kwenye kucgeza mchezo wa greencard idadi kubwa ya hizo nchi za kaskazin mwa Africa ndio inaongozA.Pamoja na ishu ya kuulinda uislamu, still bado uislamu ni mfumo bora Sana wa kuongozea nchi na kuleta haki na usawa kwenye Jamii, mfano hai nchi za kiislamu za afrika kaskazini ndio pekee ambazo wananchi wake wananufaika na kodi zao na awaisomi Sana namba kama wananchi wa nchi zingine zisizo za kiislamu africa,
Kalunya huko wapi usome hii comment. Yani hii mijitu ilivyo minafiki. Kuna pia senegal, Gambia, Mauritania, comoro, GuineaVip somalia, Chad, mali, Niger nchi za ki-islamu zinashida ya kufa mtu