Kwanini nchi za kiislam kuna Christianphobia (Uoga wa ukristo kuwa na waumini wengi) mpaka kupelekea kukataza makanisa kujengwa ?

Kwanini nchi za kiislam kuna Christianphobia (Uoga wa ukristo kuwa na waumini wengi) mpaka kupelekea kukataza makanisa kujengwa ?

Vatican haiogopi Waislam. Nchi yenyewe ni ndogo sana ina watu wasiozidi 800. Eneo lote la nchi halizidi 0.4M² na lote limejengwa sasa sijui mtaenda kujenga wapi. Ila Roma ipo Misikiti mingi tu inatosha kuhudumia Waislam.
Vatican karibia yote lile ni kanisa ni kasehemu kadogo sana, utajengane Msikiti ndani ya kanisa
 
Pamoja na ishu ya kuulinda uislamu, still bado uislamu ni mfumo bora Sana wa kuongozea nchi na kuleta haki na usawa kwenye Jamii, mfano hai nchi za kiislamu za afrika kaskazini ndio pekee ambazo wananchi wake wananufaika na kodi zao na awaisomi Sana namba kama wananchi wa nchi zingine zisizo za kiislamu africa,
Vip somalia, Chad, mali, Niger nchi za ki-islamu zinashida ya kufa mtu
 
Pamoja na ishu ya kuulinda uislamu, still bado uislamu ni mfumo bora Sana wa kuongozea nchi na kuleta haki na usawa kwenye Jamii, mfano hai nchi za kiislamu za afrika kaskazini ndio pekee ambazo wananchi wake wananufaika na kodi zao na awaisomi Sana namba kama wananchi wa nchi zingine zisizo za kiislamu africa,
Sasa Mbona idadi ya hao Africa kaskazin wanazamia ulaya kutafuta maisha bora kwenye nchi za kikristo? Idadi kibwa ya wamoroco wako Uholanzi na ubelgiji na uhispania. Idadi kubwa ya Algeria Tunisia wako ufaransa. Na ukija kwenye kucgeza mchezo wa greencard idadi kubwa ya hizo nchi za kaskazin mwa Africa ndio inaongozA.

Sasa mbona wanatoroka iyo mifumo yao ya kiislam ya kodi. Mbona
 
Uislamu unaogopa kuruhusu competition ya kiimani toka kwenye imani zingine kwa hofu ya kufutika thus unalindwa kwa hofu ya kuuliwa kwa muumini pindi akiacha na pia kuweka ulinzi mkali mfano kutoruhusu Biblia au shughuli za dini zingine kwenye maeneo au nchi zao. Thus uwapandikizia watoto wao chuki dhidi ya imani zingine kwa lengo la kuwajengea ukuta Ili wasivutwe na imani zingine, ndo chanzo cha maneno mengine mfano kafir Ili mtu asivutike kwenda huko kwa hisia za hofu ya kuitwa neno kafiri.
 
Mwombe Mungu akufunulie utaelewa ulichoaandika. Kwa ujumla tu kuna nguvu kubwa sana inayotumika siyo kwa waislamu tu hata kwa wakristo ili wanandamu wasimtambuwe Yesu Kristo kuwa ni Bwana na mwokozi wa maisha ya mwanadamu na ndiye njia na kweli ya kwenda Mbinguni. Huu ulimwengu wote uko chini ya himaya ya shetani ambaye kazi yake kubwa sana ni kuwa mwanadamu aangamie kwenye ziwa la moto. Na njia ya kuokoka katika ziwa la moto ni kumkubali Kristo kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yako. Sasa basi shetani akiwa mtawala wa dunia hii atafanya juu chini kuwaingizia wanaadamu uongo na wauamini ya kwamba either hakuna Mungu au Yesu Kristo hakuja kuwaokoa wanadamu na dhambi zao. Hiyo vita ni kali sana katika ulimwenguwa roho ndiyo maana wahubiri wengi wa Kristo either wauawe au wafunge na ilikuwa hivyo tangu zamani. Na itaendelea hivyo mpaka Kristo atakaporudi.

Mwisho wa siku Biblia inasema

Flp 2:4-11 SUV​

Kila mtu asiangalie mambo yake mwenyewe, bali kila mtu ajishughulishe pia kwa faida ya wengine. 5 Muwe na nia kama ile aliyokuwa nayo Kristo Yesu; 6 yeye kwa asili alikuwa sawa na Mungu, lakini hakuona kwamba kuwa sawa na Mungu ni kitu cha kush ikilia sana. 7 Bali alikubali kuacha vyote, akachukua hali ya mtumishi, akazaliwa na umbo la wanadamu. 8 Alipochukua umbo la mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii mpaka kufa, tena kifo cha msalaba. 9 Kwa sababu hiyo, Mungu alimwinua juu kabisa, akampa jina ambalo ni kuu kuliko majina yote; 10 ili kwa jina la Yesu, kila goti lipigwe, mbinguni na duniani na kuzimu; 11 na kila ulimi ukiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana, kwa utukufu wa Mungu
 
Back
Top Bottom