Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Vatican karibia yote lile ni kanisa ni kasehemu kadogo sana, utajengane Msikiti ndani ya kanisaVatican haiogopi Waislam. Nchi yenyewe ni ndogo sana ina watu wasiozidi 800. Eneo lote la nchi halizidi 0.4M² na lote limejengwa sasa sijui mtaenda kujenga wapi. Ila Roma ipo Misikiti mingi tu inatosha kuhudumia Waislam.