matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
Tulipokuwa shuleni wazazi walikuwa wanatuambia tutafute urafiki na wenye akili tutakuwa na akili.Mnapenda kitonga! Gharama yake uachie mlango wa uani wazi!
Bora kula ugali nikiwa huru kuliko pilau ya masharti utumwani!
Sababu wazungu ndio watu wenye capital na wanamiliki njia kuu zote za kiuchumi kwa hyo wakikupa tobo lazima utoboeMfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Ongezea falme za kiarabu japan nkMfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Mkuu asante kwa kuwa mkweli.Sababu wazungu ndio watu wenye capital na wanamiliki njia kuu zote za kiuchumi kwa hyo wakikupa tobo lazima utoboe
Japan iliendelea kabla hata ya 🇨🇳 kwa viongozi kwenda UK kujifunza mambo ya viwanda miaka ya 1800. Ndio maana nchi ndogo lqkini uchumi mkubwa.Ongezea falme za kiarabu japan nk
Ila ilisindiliwa ikawa kifusi ndio ikaainuka tenaJapan iliendelea kabla hata ya 🇨🇳 kwa viongozi kwenda UK kujifunza mambo ya viwanda miaka ya 1800. Ndio maana nchi ndogo lqkini uchumi mkubwa.
Kuanzia world bank, imf, swift na upuuzi wote mwingine vyote vinamilikiwa na wazungu na wana mtaji mkubwa waliopata kimafia kwa kudhulum, kuua na kuwageuza babu zetu watumwa .Mkuu asante kwa kuwa mkweli.
Popote penye mzungu aliye sirias panamaendeleo.
Ilikuwa juu sana, ba ilirudi juu sana.Ila ilisindiliwa ikawa kifusi ndio ikaainuka tena
Sure ninekumbuka history sasa vzr. Japan alikua juu baada ya Uk nadhanIlikuwa juu sana, ba ilirudi juu sana.
Hata kurusha ndege hadi US nq kugeuza nchi zote korea, china, ufilipino kuwa makoloni yake haikuwa nchi ya kitoto, ila ilianza na kwend ulaya kujifunza.
Nakupata vizuri sana mkuuKuanzia world bank, imf, swift na upuuzi wote mwingine vyote vinamilikiwa na wazungu na wana mtaji mkubwa waliopata kimafia kwa kudhulum, kuua na kuwageuza babu zetu watumwa .
Leo hii vikianzishwa viwanda vya bidhaa mbalimbali hapa Tanzania na soko letu kuu likawa ulaya na marekani itachukua miaka 20 tu kwa nchi yetu kuwa tajiiri.
Russia na china sio wajinga..Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)
Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.
Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Sasa hivi Kenya wamefungua Bank ya Amerika.......Wamefika mbali sanaVipi south vs North korea.
Kenya kwa muonekano wa jumla yuko mbele yetu karibu kila kitu.
Ndio maana wanaujasiri kuja kuchota ardhi huku burebure wakati sisi hatuwezi.
Wanaujasiri kutangaza vitu vyetu kqma vyao ulaya na US. Hii inaonyesha amekuzidi akili kidogo.
Kwa sababu Ulaya na Marekani wanakufungulia fursa zaidi za kila aina kuliko Urusi, China na Waarabu.
Hakuna sehemu mleta uzi aliposema ziko sawa hakuna sehemu alipofanya comparisonNi sawa na Kenya na Rwanda?