kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

kwanini nchi zenye ukaribu na US/wazungu zinafanikiwa kiuchumi kuliko zile neutral au zenye ukaribu na Russia/China au Warabu

Mnapenda kitonga! Gharama yake uachie mlango wa uani wazi!

Bora kula ugali nikiwa huru kuliko pilau ya masharti utumwani!
Tulipokuwa shuleni wazazi walikuwa wanatuambia tutafute urafiki na wenye akili tutakuwa na akili.
Hili nilifanya shule ya msingi nikajikuta mtihani wa hesabu wa shule wa mwisho napata 97, wakati nilikuwa mjinga.

Naamini tukichagua watu walioendelea kwa umakini tunaweza kupiga hatua kubwa (quantum leap)
 
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)

Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.

Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Sababu wazungu ndio watu wenye capital na wanamiliki njia kuu zote za kiuchumi kwa hyo wakikupa tobo lazima utoboe
 
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)

Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.

Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Ongezea falme za kiarabu japan nk
 
Hata mtaani mtu mwenye ukaribu na wazungu anaoonekana anaweza kutoboa kimaisha kuliko mwenye ukaribu na wahindi, wazungu wa mashariki na urusi, wachina au warabu.
 
Mkuu asante kwa kuwa mkweli.
Popote penye mzungu aliye sirias panamaendeleo.
Kuanzia world bank, imf, swift na upuuzi wote mwingine vyote vinamilikiwa na wazungu na wana mtaji mkubwa waliopata kimafia kwa kudhulum, kuua na kuwageuza babu zetu watumwa .

Leo hii vikianzishwa viwanda vya bidhaa mbalimbali hapa Tanzania na soko letu kuu likawa ulaya na marekani itachukua miaka 20 tu kwa nchi yetu kuwa tajiiri.
 
Nakupata vizuri sana mkuu
 
Mfano Korea Kusini
Taiwan
Kwa East Africa Kenya.
Israel middle east
Rwanda (japo bado anaungaunga)

Kimsingi nimejaribu kuangalia kwa ukaribu hata nchi yetu tukiamua kuqnzia sasa tufungamane bega kwa bega na wazungu tu na US, tukawapiga chini waarabu, wachina, warusi tunaweza kutoboa kirahisi.

Wataalamu wa mambo ya uchumi na mambo ya maendeleo ya nchi masikini shusheni point.
Russia na china sio wajinga..

Yaani wewe uko bize kuteka wananchi wako,kuiba kura, Rushwa na matumizi mabaya ya Rasilimali zako harafu utegemee maendeleo kwa wanachi wake waliofunga mkanda?
 
Vipi south vs North korea.
Kenya kwa muonekano wa jumla yuko mbele yetu karibu kila kitu.
Ndio maana wanaujasiri kuja kuchota ardhi huku burebure wakati sisi hatuwezi.
Wanaujasiri kutangaza vitu vyetu kqma vyao ulaya na US. Hii inaonyesha amekuzidi akili kidogo.
Sasa hivi Kenya wamefungua Bank ya Amerika.......Wamefika mbali sana
 
Back
Top Bottom