GE2025 Kwanini Nchimbi hakuwaunganisha Gambo na Makonda?

GE2025 Kwanini Nchimbi hakuwaunganisha Gambo na Makonda?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Nauliza kwanini ema ulishindwa kuwapatanisha Gambo, na Makonda kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni?

Alishindwa kuwaita na kuwapatanisha mbona mikoa mingine walifanikiwa kufanya hivyo?

Kwanini CCM ndio imeleta uadui mkubwa kwa vijana Hawa? Nini hatima ya VIZAZI vyao?

Juzi Nchimbi alikuwa mkoa wa Kilimanjaro yaani hawezi amini kilichojili uwanja wa mashujaa, yaani ilikuwa ni aibu aibu mpaka hakuna picha hata Moja iliyorushwa mitandaoni kuonesha kampeni za Makamu wa Rais akimwombea kura Rais Samia.

Je, wachaga CCM iliwakosea nini?

Kiukweli, CCM ilichokitana nacho Kilimanjaro ni aibu ya Mwaka na kwa dalili hizi sioni CCM kama itapata kura

Ndo mwanzo, CHAUMMA kuongoza Kilimanjaro kuliko CCM

Ama kweli kama mbwai mbwai walah! 🤣😂
 
Back
Top Bottom