Kwanza japo the freedom of opinion and expression inakuruhusu kusema chochote, kuandika chochote na kumuulizia mtu yeyote ambaye ni public figure kwasababu analipwa kwa kodi zetu, hivyo the public has the right kujua their public life as well as their private life, ila tusivuke mipaka na kuanza kuwaingilia uhuru wao kwa kuwapangia vitu private vya kufanya kama kumpangia mtu kwenda kutoa pole kwa mfiwa!.
Pili mjue sio kila anayefika Kizimkazi kutoa pole anapigwa picha na kutangazwa!, kuna wengi wanafika kutoa pole with preference of anonymity, hawataki publicity, wana prefer kuwa discreet, wanafika kimya kimya, wanatoa pole zao kimya kimya na kujiondokea kimya kimya.
Nimeelezwa
https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Hivyo kama ni mwenyewe kaamua kuwa private, cool, silent kwa kutulia kimya and away from public eyes, tuheshimu msimamo wake tusimuingilie wala tusimpangie!
P