Aje Kizimkazi kama nani?
Kwanza japo the freedom of opinion and expression inakuruhusu kusema chochote, kuandika chochote na kumuulizia mtu yeyote ambaye ni public figure kwasababu analipwa kwa kodi zetu, hivyo the public has the right kujua their public life as well as their private life, ila tusivuke mipaka na kuanza kuwaingilia uhuru wao kwa kuwapangia vitu private vya kufanya kama kumpangia mtu kwenda kutoa pole kwa mfiwa!.Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
"Pili mjue sio kila anayefika Kizimkazi kutoa pole anapigwa picha na kutangazwa!, kuna wengi wanafika kutoa pole with preference of anonymity, hawataki publicity, wana prefer kuwa discreet, wanafika kimya kimya, wanatoa pole zao kimya kimya na kujiondokea kimya kimya"...Kwanza japo the freedom of opinion and expression inakuruhusu kusema chochote, kuandika chochote na kumuulizia mtu yeyote ambaye ni public figure kwasababu analipwa kwa kodi zetu, hivyo the public has the right kujua their public life as well as their private life, ila tusivuke mipaka na kuanza kuwaingilia uhuru wao kwa kuwapangia vitu private vya kufanya kama kumpangia mtu kwenda kutoa pole kwa mfiwa!.
Pili mjue sio kila anayefika Kizimkazi kutoa pole anapigwa picha na kutangazwa!, kuna wengi wanafika kutoa pole with preference of anonymity, hawataki publicity, wana prefer kuwa discreet, wanafika kimya kimya, wanatoa pole zao kimya kimya na kujiondokea kimya kimya.
Nimeelezwa https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Hivyo kama ni mwenyewe kaamua kuwa private, cool, silent kwa kutulia kimya and away from public eyes, tuheshimu msimamo wake tusimuingilie wala tusimpangie!
P
Kama makamu wa rais msitaafuAje Kizimkazi kama nani?
Kastaafu au katimuliws baada ya kuonekan Yuda?Kama makamu wa rais msitaafu
Mm nliendq pia mbona kamjazion picha zsngu na hamuulizii?Kama mwananchi
Unajuaje Nchimbi yupo hai at all?Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
Unasubiri mpaka mazafakas wakuambie kwamba wamemweka kizuizini—reminiscence of Aboud Jumbe’s life in Kigamboni. Utasubiri sana!Machawa wanadandia kiki za kuuliza Chadema. Je makamu mstaafu Dr Mchimbi ambaye aliwahi kuwa katibu mkuu mbona mpaka leo hajaenda kutoa pole. Hilo ndilo swali la kujiuliza mwezi mmoja tu alikuwa msaidizi wa Raisi yuko wapi? Tunajua hayuko busy na kazi
Kwanza japo the freedom of opinion and expression inakuruhusu kusema chochote, kuandika chochote na kumuulizia mtu yeyote ambaye ni public figure kwasababu analipwa kwa kodi zetu, hivyo the public has the right kujua their public life as well as their private life, ila tusivuke mipaka na kuanza kuwaingilia uhuru wao kwa kuwapangia vitu private vya kufanya kama kumpangia mtu kwenda kutoa pole kwa mfiwa!.
Pili mjue sio kila anayefika Kizimkazi kutoa pole anapigwa picha na kutangazwa!, kuna wengi wanafika kutoa pole with preference of anonymity, hawataki publicity, wana prefer kuwa discreet, wanafika kimya kimya, wanatoa pole zao kimya kimya na kujiondokea kimya kimya.
Nimeelezwa https://www.jamiiforums.com/threads...ikiliwa-ni-ameamua-kutulia-kunyamaza.2469446/
Hivyo kama ni mwenyewe kaamua kuwa private, cool, silent kwa kutulia kimya and away from public eyes, tuheshimu msimamo wake tusimuingilie wala tusimpangie!
P
Mkuu Kamundu, hiyo unayoiona kuwa ni weakness yangu, kwangu ndio my strengths kuusema ukweli mchungu na kusimama nao mpaka mwisho!.Tupunguze kutetea vitu ambavyo viko wazi maana ni kujisushia heshima. Weakness yako bro hi hapo tu