Kwanini ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki sisi ni "DR. NO"?

Kwanini ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki sisi ni "DR. NO"?

Hongera Zakumi kwa kuukubali ukweli badala ya baadhi ya wachangiaji ambao waunda simulizi kuwa hatukatai wenzaetu wasisonge mbele kama sisi tunakwazwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Ruta:

Tatizo kubwa la Tanzania ni kuvuna tulichopanda. Kuna matatizo ya ardhi. Lakini yanatokana na sheria mbovu za kumiliki. Kwa sababu hata kama hatutakuwa kwenye EA, matatizo ya archi yatakuwepo kwa sababu ya mfumuko wa idadi ya watu. Mwaka 1961 kulikuwa na watanganyika 12 milioni hivi. Miaka 50 baada ya uhuru idadi ya watu imefika zaidi ya milioni 40 wakati eneo la nchi ni lilelile.

Hili kuondoa matatizo ya ardhi inatakiwa kufanya ongezeko uchumi katika sekta zingine. Na hili sekta zingine zichangie vizuri, ni lazima mfumo wa elimu utoe wahitimu wanaoweza kuchangia vizuri. Mfumo wa Tanzania sio mzuri. Haujatoa watu wazuri kwa soko la kazi la ndani au la kimataifa.

Suala la ardhi ni kama suala la kidini au kikabila. Lina evoke emotions. Watanzania wana emotions. Lakini wakikaa na kutulia, wataona hawakujiandaa.

Ningependa watanzania waseme No na watoe plani za kujiandaa. We say no, but we don't offer a plan

Vilevile nchi za EA zisifanye vitu kwa sababu jumuia zingine zinafanya. Ziwepo benchmarks. Sioni umuhimu wa kuwa na sarafu moja wakati kuna nchi bado zinategemea misaada kutoka nje kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.
 
Tuko,

..masuala ya ardhi yaliibuka wakati wa majadiliano ya Common Market Protocoal.

..hili suala linaumiza baadhi ya wanachama wa EAC ambao malengo yao kujiunga na jumuiya yalikuwa ni ardhi.

..nime-quote makala ya mtafiti Nyambura Githaiga ili kukupa mwanga zaidi.source:ISS Africa | Much Ado About Land in the EACcc Nguruvi3
Mkuu JokaKuu, nimuombe Tuko asome makala za Warigi Kamau ambaye alikuwa mouth piece ya serikali ya Kenya. Kwa taarifa yake Kamau ndiye alikuwa anaandika makala za kuikandia Tanzania ndani ya EA kama zile za ' Tanzania id dithering...' 'Tanzania lone ranger in EA...' n.k. Kauli zake zilipelekea diplomatic row hadi JK alipokwenda Nairobi na kusema wana habari wawe makini katika kauli zao na kuitaka serikali ya Kenya iseme kama kauli hizo ni za Warigi au serikali ya Kenya.

Katika common market protocol hilo ndilo lilikuwa jambo la kwanza. Tuko unaweza kuliona ni dogo kwasababu halisemwi na wao kwa kujua ukweli wake. Katika kikao kimoja cha Arusha, Tanzania ilisema hilo waendelee na katika manguli walioshiriki kujenga hoja ni Profesa Magamba Kabudi aliyeambatana na ujumbe wa JK.
Moja ya sababu za Prof Magamba kuwa katika tume ya Warioba ni weledi wake katika mambo ya ardhi kama sehemu muhimu ya rasimu ya katiba.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu muda mfupi uliopita nimefanikiwa kusoma makala ya Githaiga aliyoni refer mkuu Joka Kuu hapo juu. Humo nimekutana na sentensi mbili:
"The final concession acknowledged the national policies and laws of member states as the governing frameworks for land use and access".
"So, while some member states would be open to foreign ownership of land within the EAC, other states would prefer to restrict land ownership to citizens with respect to existing land regimes"

Sasa hapo nikawa nahoji, kama hili suala la ardhi lilibuka katika common market protocol, na kama hiyo protocol ilikuwa ratified tangu 2010 kwa makubaliano kuwa sheria za nchi husika zitume katika masuala ya ardhi, then remnants za mgogoro katika ardhi zi zipi. Leo, zaidi ya miaka mitatu baada ya mikwaruzano ya ardhi na makubaliano kufikiwa tunaona Tanzania akibaki nyuma na kuomba talaka!!! Kwa nini, kama mambo ya ardhi "tulishamalizana" tangu 2010?
 
Sasa mkuu kwa hizi sentensi mbili kutoka kwenye hiyo quote ya Githaiga;
"The final concession acknowledged the national policies and laws of member states as the governing frameworks for land use and access".
"So, while some member states would be open to foreign ownership of land within the EAC, other states would prefer to restrict land ownership to citizens with respect to existing land regimes"

Mgogoro uko wapi sasa!!! Kama tulishafikia "final concession" kuwa sheria na taratibu za nchi husika ndizo zitatumika katika masuala ya ardhi, hatuoni kwamba tunapambana na "a dead devil"?... Baada ya hiyo common market protocol kuwa ratified mwaka 2010 (kwa mujibu wa hiyo quote), nategemea majadiliano ya ardhi yalifungwa.
Swali: Ni nini kimekuja kutokea baadae hadi mwaka 2013 wenzetu wakaanza kusonga mbele na kutuacha sisi tudaduwaa na kudai talaka?...
Tuko,

..mgogoro haujaisha kwasababu wenzetu wamekuwa wakilete suala la ardhi kwa njia nyingine za kihuni-huni.

..hapa utaona kwamba in 2011 wenzetu waliamua kutujaribu tena ktk masuala ya ardhi.

[h=2]Tanzania refuses to sign key EAC documents[/h]

BY LUSEKELO PHILEMON

28th November 2011

email.png

Email

printer.png

Print

comment_bubble.png

Comments

headline_bullet.jpg
They included the controversial land, foreign and security issues
headline_bullet.jpg
Sitta: We have decided to leave the issue to the Heads of State

SittaEAC(1).jpg

East African Cooperation minister Samwel Sitta

Tanzania held back from signing a document for the heads of state summit beginning here Wednesday, citing inclusion of controversial issues like land, foreign and security policy in the envisaged EA political federation.

East African Cooperation minister Samwel Sitta speaking to journalists after chairing a meeting of the Tanzanian delegation confirmed that they had refused to sign the documents after the issues were retained.

He said that his delegation had resolved not to sign the documents and that they would leave the matter to be decided by the Heads of State.

Delegations of ministers and technocrats from the other four partner states, signed the document, leaving the space for Tanzania to endorse the document.

The Tanzanian delegation decided to get out of the Council of Ministers' meeting and convene at another hotel in Bujumbura under minister Sitta after noting the inclusion in the document of the controversial issues.

Permanent Secretary in the Ministry of East African Cooperation, Stragomena Tax- Bamwenda told reporters: “These are very serious issues,” adding that a statement on the country’s position would be issued later.

Other EAC member states delegations are apparently pushing for the issues to be part of the envisaged EA political federation.
Tanzania’s deputy minister for Industry and Trade, said Lazaro Nyalandu, clearly stated that land will not be part of EAC political federation; noting that there were some member countries, eyeing the country’s land with a “greedy eye”.

The minister said that there are some member countries which are trying to refresh past discussions on land, while it was fully discussed during the common market protocol, whereby it was agreed that the issue will not be part of the EAC.
“We’ll never allow the issue to feature in the EA federation, because to do so is to betray our own people. There are member countries which are struggling to bring back the issue of land in the regional bloc’s set-up,” he said.

He said that Tanzania was “firm” and will not be shaken by anyone when it comes to issues of national interests. “The government is committed to ensuring that all resources of its people are well protected for their own benefit.”
The Singida North MP explained: “Tanzanians have their own culture. They are free to move from one place to another within the country. So, the available land is for Tanzanians and its future generations.”

Other issues which cropped up in the meeting include the issue of having a common foreign and security policy, of which Tanzania asked for more time to consider, saying it has signed a similar protocol with the Southern African Development Community (SADC).

For her part, ministry’s PS stated that Tanzania will remain focused on various issues related to EAC affairs.
She said the delegation in the EAC council of ministers was interested to see the integration go step-by-step to the envisaged political federation.
“We would like to see the already signed protocols benefiting our people before rushing to the other stages. Where are we rushing to?” she queried, stating: “Integration is a process, hence we want our people to start enjoying the benefits of the already signed protocols before advancing into other areas.”

Tanzania is being blamed by other member states for what was described as “delaying” the integration process, apparently in its keenness to ensure that everything signed in the regional bloc is in the interest of its people.
Revived in 1999, the new EAC is made up by Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda and Burundi with a population of over 130 million people.

Last edited by a moderator:
kama nilikosea kujiita sisi ni "Dr. No"..................mbona hapa unakubali kuwa sisi ni "Dr. No"?

Unabisha khalafu unathibitisha..........which side are you? Of the truth or the lies of our government?

Labda niambie matarajio yetu ndani ya EAC kama siyo shirikisho na kuwa na serikali moja ni nini?
Narudia tena kuwa sidhani kama unaelewa EA kama unavyojaribu kufikiri. Nimesema Tanzania haikuafiki kuburuzwa kwasababu tu ya kumfurahisha mtu au watu kwa kusema YES. iIlisema wazi wanaoona wanaweza kuendelea waendelee, sasa hapo Dr NO inakujaje. Kama wangesema hapana hilo ni jambo jingine lakini kusema waendelee hakuna tatiz.

Nimekuuliza kwa hao wenzetu waliotaka kupigana kwa KM 1 wangekuwa Dr Yes ugomvi ulihusu nini na umetatuliwaje?
 
Mkuu muda mfupi uliopita nimefanikiwa kusoma makala ya Githaiga aliyoni refer mkuu Joka Kuu hapo juu. Humo nimekutana na sentensi mbili:
"The final concession acknowledged the national policies and laws of member states as the governing frameworks for land use and access".
"So, while some member states would be open to foreign ownership of land within the EAC, other states would prefer to restrict land ownership to citizens with respect to existing land regimes"

Sasa hapo nikawa nahoji, kama hili suala la ardhi lilibuka katika common market protocol, na kama hiyo protocol ilikuwa ratified tangu 2010 kwa makubaliano kuwa sheria za nchi husika zitume katika masuala ya ardhi, then remnants za mgogoro katika ardhi zi zipi. Leo, zaidi ya miaka mitatu baada ya mikwaruzano ya ardhi na makubaliano kufikiwa tunaona Tanzania akibaki nyuma na kuomba talaka!!! Kwa nini, kama mambo ya ardhi "tulishamalizana" tangu 2010?
Mkuu Tuko nadhani umemsoma mkuu JokaKuu na makala alizoleta kuthibitisha hilo.

Katika kikao kimoja Kigali kulitolewa taarifa kuwa Tanzania haitaki kusiani makubaliano. Hakuna sababu zilizowekwa ikasemwa tu haitaki. Kumbe ilikuwepo document na ndani yake kukawa na mambo hayo yaliyoafikiwa kama ulivyoonyesha.

Na kukuonyesha kuwa wenzetu wana mbinu tofauti, kwa pamoja walileta kitabulisho cha utaifa tu kuingia na kufanya shughuli sehemu nyingine. Walikataa passport za kimataifa na hata zile za EA. Sasa jiulize kama nia ni kurahisisha mawasiliano miongoni mwetu kwanini wakatae passport za Afrika Mashariki.

Maana ya kitambulisho ni kuwa mtu anakuja na kusihi kama raia mwingine. Hilo halina tatizo, tatizo ni kuwa wenzetu watahamisha matatizo yao kwetu wakati yakwetu tutabaki nayo na kuyakuza.
Kwa wao wenyewe haina tatizo kwasababu population density kama ya Rwanda na land ownership ya Kenya haiwezi kuathiriwa na massive movement ya watu kwa upande wowote.

Na ushahidi mwingine ni hili suala la wahamiaji haramu. Ukisoma magazeti ya Kenya na Rwanda tayari wanasema ni kinyume na mkataba wa EA wakati hakuna mkataba wa kitu hicho na makubaliano ni kama ulivyoyaandika hapo juu.

Utashangaa nchi zote zimeikomalia Tanzania kwa kitu kisicho cha mkataba na ambacho wakubwa walikubaliana kuwa iwe issue ya nchi husika.

Sentiment zao ni ushahidi kuwa suala hilo lipo rohoni lakini hawawezi kulisema kwasababu kuna swali muhimu sana. Ni zipi policy za land ownership kwa nchi zote itakayohakikisha fair play.?
 
Last edited by a moderator:
[h=2]Fear of isolation may reignite Tanzania's interest in EAC[/h]
Joseph Rwagatare

In June this year, the presidents of Kenya, Uganda and Rwanda met in Kampala and then announced a plan with definite timelines to speed up integration in the East African Community.

They have since met again in Mombasa and will be in Kigali soon. There were two reactions to this development.

The first was that the three were creating a two-lane integration process – one for those who wanted to sprint and another for dawdlers.

The second was a signal that if the other two could not make up their mind about how they wanted the East African Community to move forward, they risked being left behind.

In both cases, depending on where one stood on the issue, the action of the three countries was said to be leading to the possible isolation of Tanzania and Burundi or to pulling them along to join the others.

Tanzania shrugged and scoffed at such suggestions, saying they were inconsequential and that the trio could go ahead with their plans. Some Tanzanians even claimed that not much could be done without their country since it was the regional centre of gravity.

That initial disdainful dismissal of what has come to be known as the tripartite arrangement has given way to realism. Now Tanzania and Burundi are chafing at being left out by the other three partner states.

The prospect of isolation, or at any rate being left behind, is looming.

Indication that this change of attitude is happening came from a recent meeting of the East African Council of Ministers in Arusha.

A lot of good may come from the decisions of Presidents Paul Kagame, Yoweri Museveni and Uhuru Kenyatta to go it alone. They are now likely to pull along the other reluctant partners after all.

In many senses both the actions of Kenya, Uganda and Rwanda and the new response by Burundi and Tanzania had to happen at some point. Exasperation among East African Community enthusiasts with Tanzania for its slow pace towards integration was bound to trigger some reaction or other.

It is not a coincidence that the three countries chose to address the very areas where Tanzania has been less cooperative: single customs territory, non-tariff barriers, free movement of people, goods, services and capital, infrastructure and political federation.

For long the excuse of the Tanzanian leadership was that their citizens should not be stampeded into faster integration because there was no urgency and in any case they needed time to grasp the concept.

As it now turns out, that was only a pretext. Ordinary Tanzanians now recognise that the other three partner states are determined to go ahead without them.

The prospect of achieving what they have set out to do is very real. The likelihood of isolation, or at the very least being left behind, is also becoming real and is being voiced by ordinary people.

Politicians are now picking it up because it is becoming a serious issue and likely to make them climb down from their arrogant position.

This change of attitude has obviously been forced on the Tanzanian leadership. They now realise they might lose out if the other countries establish a single customs territory and also start using a single-tourist visa. And despite repeated denials, plans to build the oil and transport infrastructure in the northern corridor will significantly affect the volume of cargo along the central corridor.

Already, there are examples of a climb down. Tanzania unilaterally hiked charges on Rwandan-registered trucks ferrying transit goods through its territory.

Rwanda retaliated and raised charges on Tanzanian trucks. Tanzania cried foul but in the end backed down and reduced the charges they had set without consultation.

The decision was not, of course, a result of good neighbourly feelings. It was the product of hard-nosed business calculations. Tanzania has more trucks doing business from the port of Dar es Salaam to Kigali and on to northern Burundi and the Democratic Republic of Congo. It was therefore bound to lose from a protracted tariff war.

The same considerations are probably coming into play with regard to the tripartite arrangements between Kenya, Rwanda and Uganda. The fear of loss and isolation will make the Tanzanian leadership find their East African feet and recognise that it is in their best interest to travel together with their partners and at the same pace.

They might yet rediscover the integrationist spirit of their predecessors. Historically, ideologically and even in practical terms, Tanzania was the most integrationist of the East African countries.

This owed in large measure to Mwalimu Julius Nyerere's Pan-Africanism and de-ethnicisation of the country, and the fact that the country was the home of nearly all liberation movements in East, Central and Southern Africa.

About ten years ago, all that began to change. We began to see the development of an inward looking nationalism and dangerous flashes of xenophobia.

That could yet change again and the previous enthusiasm for a united East Africa return. The fear of isolation and loss of business may bring that about.

The writer is a political commentator based in Kigali

cc Nguruvi3, Tuko
 
Last edited by a moderator:
Ningependa watanzania waseme No na watoe plani za kujiandaa. We say no, but we don't offer a plan

Vilevile nchi za EA zisifanye vitu kwa sababu jumuia zingine zinafanya. Ziwepo benchmarks. Sioni umuhimu wa kuwa na sarafu moja wakati kuna nchi bado zinategemea misaada kutoka nje kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali.

Sarafu zetu ni mzigo hata wa kuzitengeneza na uwezo wetu wa kusimamia mfumuko wa bei na mapato unazidi kudidimia. Ningependa mwenye takwimu za kiasi gani kuanzia uhuru tumetumia kuchapisha hela zetu ili tujue ni mangapi ambayo tungeliyafanya kama mbadala wake.....
 
It is not a coincidence that the three countries chose to address the very areas where Tanzania has been less cooperative: single customs territory, non-tariff barriers, free movement of people, goods, services and capital, infrastructure and political federation.

For long the excuse of the Tanzanian leadership was that their citizens should not be stampeded into faster integration because there was no urgency and in any case they needed time to grasp the concept.

Tunaposema sisi ni Dr. No baadhi ya wachangiaji wanasema tunapotosha ukweli kwa sababu tunazozijua...................na hawa nao wanaupotosha ukweli?
 
Maana ya kitambulisho ni kuwa mtu anakuja na kusihi kama raia mwingine. Hilo halina tatizo, tatizo ni kuwa wenzetu watahamisha matatizo yao kwetu wakati yakwetu tutabaki nayo na kuyakuza.
Kwa wao wenyewe haina tatizo kwasababu population density kama ya Rwanda na land ownership ya Kenya haiwezi kuathiriwa na massive movement ya watu kwa upande wowote.

Unajivunia mipaka uliyopandikiziwa na mkoloni hadi lini? Matatizo yao ni ya Afrika yote. Huu muungano wetu na Zanzibar kwa mfano ni kuisaidia Zenji isisarambatike. Kwa mtazamo wako basi tuwaache tu wasambaratike maana wasituletee matatizo yao kwetu. Africa will always be one na ndiyo maana tunatuma vikosi vya jeshi Sudan na kufundisha askari wa AU wanaopigana Somalia..........................why because what happens anywherre in Africa in one way or another affects us too.............................tuache ubinafsi ambao hauna tija kama huo
 
Narudia tena kuwa sidhani kama unaelewa EA kama unavyojaribu kufikiri. Nimesema Tanzania haikuafiki kuburuzwa kwasababu tu ya kumfurahisha mtu au watu kwa kusema YES. iIlisema wazi wanaoona wanaweza kuendelea waendelee, sasa hapo Dr NO inakujaje. Kama wangesema hapana hilo ni jambo jingine lakini kusema waendelee hakuna tatiz.

Nimekuuliza kwa hao wenzetu waliotaka kupigana kwa KM 1 wangekuwa Dr Yes ugomvi ulihusu nini na umetatuliwaje?

Mustakabali wa kitaifa kuhusiana na EAC ni lini tulikubaliana? Or Ikulu pekee yao ndiyo TZ?
 
..mgogoro haujaisha kwasababu wenzetu wamekuwa wakilete suala la ardhi kwa njia nyingine za kihuni-huni.

..hapa utaona kwamba in 2011 wenzetu waliamua kutujaribu tena ktk masuala ya ardhi.

ardhi yetu siku nyingi tulikwisha wakabidhi wakezaji wakigeni ni ardhi ipi unayoingelea? Hata maziwa makubwa tuko hatua za mwisho kuwamilikisha wawekezaji wakubwa katika sera yetu ya "mpishe mwekezaji ale......................"
 
..Uingereza na Kenya ndiyo wawekezaji namba 1 na 2 hapa Tanzania.

..kwa hiyo kama unasema ardhi yote tumekabidhi wawekezaji basi most likely waliopata ni Waingereza na Wakenya.

..kutokana na hoja zangu hapo juu, naomba kuuliza: hoja ya Kenya kwamba tunawanyima ardhi imetoka wapi?

..vilevile, kwanini wanachama wengine wa EAC hawataki kuomba ardhi kupitia TIC badala yake wanaendesha kampeni chafu kupitia vyombo vya habari?

NB:

..Tume ya Prof.Wangwe ilipita nchi nzima na kupokea maoni ya wananchi kuhusu shirikisho la Afrika Mashariki. maoni ya wananchi kuhusu shirikisho na masuala ya ardhi ndiyo yanayoelekeza msimamo wa serikali yetu.
 
Jokakuu

Unayo maswali au vipengele ambavyo tume ya Prof. Wangwe ilitumia katika kupata maoni ya wananchi? Ningependa kuvipitia tu maana kuna maswali yanayolazimisha hitimisho iwe NO or YES. Kwa mfano ukiwauliza watu wa Mtwara kuwa mapato ya gesi yatumike kwa maendeleo ya Mtwara, watasema YES.
 
Wakuu zangu leo nimeingia tena mtamboni baada ya muda kwa sababu mada hii ina uzito mkubwa sana ktk kuelewa tulipotoka, tulipofika na tunaenda wapi.

Kwanza kabisa nakubaliana na wenzangu ktk hoja zao isipokuwa nitaongezea hali halisi iliyopo ndani ya UMOJA huu. Kifupi ni kwamba nchi zetu ziliungana kwa makubaliano kama ya kindoa, japo kila nchi ilikuwa na sababu zake ktk kujiunga na ukweli utabakia kwamba kutokana na hizo sababu binafsi ndizo zilizovunja Umoja wa kwanza mwaka 1977 na utaendelea kuvunja UMOJA huu..

Swala la jumuiya hii ya EAC ni sawa na swala la ndoa ambapo hutegemea watu wawili kuungana na kuwa kitu kimoja yaani mke na mume lakini inapotokea kwamba mmoja wao ana sababu zake nje ya lengo haswa la ndoa, basi ndoa hiyo haina maana na wala haiwezi kudumu japo watu watasukumiana lawama.

Kwa mfano ukioa mke ambaye hakupendi isipokuwa amekubali kuolewa kwa sababu ya Utajiri wako, basi ujue kutakuwepo na mume mwingine nje alopendwa, ama fedha zikiisha utaachwa na pengine atachota kiasi alichokitaka kisha utaachwa kwenye mataa maana hakuitaka ndoa kwa imani halisia.

Mwaka 1975 viongozi wa Jumuiya walikutana Kampala na kuweka makubaliano ambayo kwa njia moja ama nyingine kuweka uuwiano baina ya mataifa haya matatu ili kila mshirika apate kunufaika na jumuiya hiyo lakini baada ya makubaliano hayo tulishuhudia Jumuiya ikianza kukumbwa na migogoro...Pengine ndio asili yetu kuficha dhamira zetu maana ndoa nyingi siku hizi zimefunikwa na dhamira hasi toka pande zote, Tanganyika na Zanzibar yaleyale, na hata Chadema walipoungana na CUF hawakuwa na lengo moja (common goal) isipokuwa kila mmoja alikuwa kalenga kujinufaisha... Huu Ubinafsi hautaweza kujenga kitu kamwe.

Sasa narudi ktk ukweli wa haya yalotokea sasa hivi. Nijuavyo mimi swala la ARDHI limekwisha pewa ufumbuzi japo halina idhini ya wananchi. Hili sii tatizo kwa sasa hata kidogo japo ndilo liloikwaza Jumuiya kufikia muafaka kwa muda mrefu huko nyuma. Tanzania tukitaka ndoa hii iwe ya prenuptial agreement kuhusu umiliki wa ardhi maana ndio utajiri wetu ulobakia. Kwa wenzetu haikuleta maana kuunganisha watu lakini kuna mipaka ya umiliki wa ardhi na uhamiaji.

Hivyo japo walikwisha afikiana nina hakika swala la Ardhi na Uhamijaji yataendelea kuwa matatizo makubwa ya Jumuiya hii maana swala mla ardhi tu limepewa maamuzi na viongozi pasipo kuwashirikisha wananchi ktk maamuzi hayo japo Tanzania yenyewe ilijiunga na JUMUIYA hii kama hatua ya kwanza ya kuunda AFRIKA MOJA. Sisi hatukuwa na sababu wala lengo jinginelo zaidi wakati wenzetu walikuwa na malengo ya kiuchumi zaidi sio kuunda Afrika moja, hivyo tunapofika ktk swala la kiuchumi kwa maslahi ya kila nchi na sio EAC moja hapo ndipo mgongano unapoanzia.

Kwa maana hii nasema tunajua kuwa wenzetu hawakujiunga na EAC kama hatua ya kwanza kuunda United States of Africa, ila zaidi ni kuwa na sauti moja yenye nguvu ya kiuchumi, wakati kila mmoja akinufaika na umoja huu kulingana na rasilimali na maliasili zake. Hii ni ndoa ya kinafiki, sawa na kumuoa mwanamke/mme anayetaka kujenga kwao..wanandoa ambao hawataki kuondokana na kwao ili kuanza familia zao mpya utadhani baba na mama zao walikuwa ndugu. Na sii kosa letu ila ni Utamaduni wetu, unapooa ama kuolewa bado wazazi na familia yako wanatangulia mbele ya mume au mke maana ndoa inaweza vunjika kesho lakini ndugu na wazazi watabakia kuwa ndugu na wazazi wako..

Pili, kuna hili swala sisi Tanzania kuingia vita ya Congo, aidha iwe kweli tumefanya hivyo kwa sababu ya mauaji yalokwisha tokea ama tumefanya ivyo kwa msukumo wa nchi za magharibi ambazo mashirika kama Barricks yanamezea mate miradi ya madini toka nchini humo. Kwa nchi kama Rwanda na Uganda hizi zote zimekuwa zikifaidika na madini ya Congo. Rwanda ikifanya export ya dhahabu na Almasi kuliko Kongo wenyewe na Kagame huyu tunayempa sifa kaijenga nchi yake haraka na vizuri kutokana na utajiri wa Kongo. Pia Wanyarwanda wameweza kusambaa na kurithi ardhi eneo ya Kongo hivyo kuondoa tatizo la ardhi ambalo ndilo hasa sababu ya vita ya kwanza na wahutu.

Hivyo kwa nchi kama Uganda na Rwanda wao wanatushangaa sisi kama wanajumuiya imekuwaje leo tumeingia vita dhidi ya mwanajumuiya mwingine kwa kuungana na jumuiya nyingine ya SADC dhidi ya EAC... tumesimama wapi haswa? - ndivyo wanavyojiuliza! Na kibaya zaidi baada ya marumbano ya kihuni baina ya Kagame na JK, sisi tulichukua uamuzi wa kuwafukuza wakimbizi wa Rwanda tukiwaita wahamiaji haramu.. Je huu muungano wetu wa EAC ulikuwa na lengo gani hasa ikiwa mwanajumuiya Mnyarwanda leo ni mhamiaji haramu japo hahitaji visa wala kibali cha uhamiaji kulingana na malengo ya EAC acha mbali kuwa ni mikimbizi alopata sharia kuihsi nchini kama mkimbizi.

Na toka lini mkimbizi alojipa nchi Fulani akarudishwa makwao kwa sababu tu vita imeisha? tunahakika gani ya usalama wao, na kusema kweli binafsi yangu ndio mara ya kwanza kuona Mkimbizi alokubaliwa Ukimbizi kisheria, kesho anaondolewa na kurudishwa makwao ati vita imeisha au kutokana na mkwaruzano wa marais wake. haya yote ni maswali magumu sana kuyajibu japo sisi tunazo sababu,nia uwezo wa kufanya hivyo.

Kisha ajabu leo unakuta viongozi wetu wanataka kujua sababu kwa nini sisi tumetengwa?.. yaani mwanamke/mume alotembea nje ya ndoa, ukimnyima mchezo anaweza kweli kuuliza kwa nini hapewi?...anyway, pengine mimi nafikirikinyume sana na ndio maana huwa sieleweki kwa sababu tu hutazama pande mbili za sarafu with open minded.

Mwisho, wangu namalizia tu kwa kusema. haitakuwa kosa kubwa sisi tukirudi nyuma na kutazama kwa nini Jumuiya ya kwanza ilivunjika mwaka 1977 na kwa nini makubaliano ya Kampala yalikuwa chachu ya kuvunjika Muungano huo na hata kuleta uhasama mkubwa baina ya Tanzania na Uganda, Kenya na Uganda na kadhalika ili tusishangae tena haya ya Kagame na Museveni tulowaweka madarakani sisi wenyewe.
 
mkuu Mkandara karibu tena jamvini, hili swala la EAC lina utata mkubwa wa kisiasa, leo hii waziri wa EAC hawezi kutoa ushauri wa kujitoa EAC maana kujitoa kuna maana ya kuhatarisha ajira yake moja kwa moja, si waziri tu, wapo na wabunge pia, yaani sielewi sielewi,
 
Last edited by a moderator:
Khabari njema leo tumepewa na Mzee Sitta ya kuwa mawaziri wa hii Jumuia wameanguka sahihi za kuanzisha ushuru wa forodha wa pamoja. baada ya hapo uhamiaji na sarafu moja ziko njiani. Kwa khali hii tumekataa uteja wa Dr. No.....................na kuamua kuwa Dr. Yes. Which is a good thing than refusing with leg still in.............
 
Khabri njema leo tumepewa na Mzee Sitta ya kuwa mawaziri wa hii Jumuia wameanguka sahihi za kuanzisha ushuru wa forodha wa pamoja. baada ya hapo uhamiajina sarafu moja ziko njiani. Kwa khali hii tumekataa uteja wa Dr. No.....................na kuamua kuwa Dr. Yes. Which is a good thing than refusing with leg still in.............

..hatujawahi kukataa hayo.

..tulichokataa ni ule mkataba wa ULINZI pamoja na masuala ya ARDHI.

..vilevile tulielekeza kwamba political federation iwe ni hatua ya mwisho kabisa.
 
Acheni kufikiria kwa mawazo Mgando. Ugomvi uliopo ni juu ya ardhi yetu tu, na kutembelewa na wakuu wa dunia.
 
Hoja za kuchelewesha kwa shirikisho la EAC zingetumika kwenye muundo wa muungano tungejikuta muungano umeota mbawa. Kwenye muungano hatujivunii ardhi lakini inapokuja EAC tunakumbuka tuna ardhi. Doubletalk confirms hypocrisy
 
Back
Top Bottom