lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
haya maswali ya kitoto sana. ndege inaruka angani kwa sababu ina mabawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuna tatizo moja, niliipenda sana Physics, bado naipenda na ntaendelea kuipenda, ila Chemistry nilifaulu form four kwa sababu tu ya kua na mwalimu mzuri.
Tatizo kwenye hili swali kama ni mtoto kauliza jibu lake inabidi lisiwe la kitaalam lakini liwe la kueleweka kwa uwezo wake na kiwango cha ufaham wake.
Uplift force ni nini ndugu yangu?
unatakiwa kutambua limit yako, katika huduma ambazo ni free of charge unalimit ya kuuliza lakini kama unalipia hapo unakuwa na uhuru wa kuuliza chochote provided you pay for it.
hiyo kanunue vitabu na wewe usome elimu zote zimeandikwa.
Mwambie mtoto akikua na kusoma kwa bidii ataelewa sababu. Atakuwa na motisha ya kusoma kwa bidii.
Mkuu tuna tatizo moja, niliipenda sana Physics, bado naipenda na ntaendelea kuipenda, ila Chemistry nilifaulu form four kwa sababu tu ya kua na mwalimu mzuri.
Tatizo kwenye hili swali kama ni mtoto kauliza jibu lake inabidi lisiwe la kitaalam lakini liwe la kueleweka kwa uwezo wake na kiwango cha ufaham wake.
Asante mkuu kwa faida yangu pia niliipenda sana physics, bt chemistry ilinitupa mbali test ya kwanza 4m 1 nilipata 5/100