Kwanini Ndege inaelea angani?

Kwanini Ndege inaelea angani?

lipo tatizo la kile kitu kinachoitwa ujumbe kupotea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine.

walikuwa wanatueleza fasihi simulizi kuwa kutokana na utashi alionao mtu wa kipi asimulie na kipi aache na wakati mwingine mtu anatafuta mifano kufafanua jambo, tatizo linakuwa pale wasiojua mwanzo ulikuwaje wanaweza kuchukua mifano kama ndio ujumbe mkuu na kuacha ujumbe ukapotea.

hivyo tuwe makini katika kuwaeleza watoto tuwaeleze ukweli, tusije tukataka kueleza kwa jinsi wanavyoweza kuelewa tukapoteza maana na watoto wasielewe tena kwa nini ndege inaruka bali wakachukua maelezo yako mepesi kama ndio elimu au ujumbe usio na tija.

kujifunza sio kazi rahisi hivyo wakati mwingine njia nyepesi hakuna bali mtoto kuelezwa ukweli.

Mkuu tuna tatizo moja, niliipenda sana Physics, bado naipenda na ntaendelea kuipenda, ila Chemistry nilifaulu form four kwa sababu tu ya kua na mwalimu mzuri.

Tatizo kwenye hili swali kama ni mtoto kauliza jibu lake inabidi lisiwe la kitaalam lakini liwe la kueleweka kwa uwezo wake na kiwango cha ufaham wake.
 
unatakiwa kutambua limit yako, katika huduma ambazo ni free of charge unalimit ya kuuliza lakini kama unalipia hapo unakuwa na uhuru wa kuuliza chochote provided you pay for it.

hiyo kanunue vitabu na wewe usome elimu zote zimeandikwa.

Uplift force ni nini ndugu yangu?
 
unatakiwa kutambua limit yako, katika huduma ambazo ni free of charge unalimit ya kuuliza lakini kama unalipia hapo unakuwa na uhuru wa kuuliza chochote provided you pay for it.

hiyo kanunue vitabu na wewe usome elimu zote zimeandikwa.

Ndo unanishauri nimjibu hivyo mtoto?
 
Mwambie mtoto akikua na kusoma kwa bidii ataelewa sababu. Atakuwa na motisha ya kusoma kwa bidii.
 
asome yeye akamueleze mtoto sasa yeye anataka kufundishwa kila kitu mtandaoni bwana, mtoto kukuuliza maana yake ana interest sasa akazame kwenye vitabu aelewe amueleze mtoto.

any way for your child's sake nitamueleza maana ya uplift force

chukua karatasi ngumu kama jarada hivi alafu ishikilie mkononi na karatasi hilo likiwa limesimama wima, geuza kimbiza mkono wako kwa nguvu bila shaka utasikia kwenye mkono kuna nguvu ya upepo inasukuma jarada opposite na uelekeo wa mkono wako. hiyo ni back ward force.

sasa karatasi yako ukiishika ikiwa imelalia mbele kwa sana, yaani upande uliotangulia mbele umeinuka juu na ulio nyuma umeinama kwa chini ukikimbiza mkono wako, hapa utagundua karatasi inaenda inaunika juu. nguvu hii ya kuinuka juu inaenda inabadilika kulingana na ulalo kwa maana upepo unaweka nguvu mmbili moja inasukuma karatasi kwa nyuma na nyingine inasukuma karatasi jii.

hii inayosukuma karatasi juu ndiyo inaitwa up (juu) lift

lakini pia ukiongeza kasi ya mkono nguvu nguvu inayosukuma karatasi kwa maana ya up or back ward zote zinaongezeka.

sasa katika ndege wanabalansi nguvu hii ya kuinua juu inayotokea katika mabawa ili kubeba mzigo wa ndege yenyewe na vitu ilivyobeba.

kama mkono wako unavyosukuma karatasi ndivyo injini za ndege zinavyosukuma ndege kwenda mbele. unaweza kuangalia mfano wa rocket zinavyokwenda juu angani na kwa kuangalia kuwa kuna vitu kama vinakuwa vinachomwa ndani na kutoka kwa kasi sasa ile inaipa ndege msukumo wa kwenda mbele kutokea kwenye injini.

wakati huo mabawa yametegeshewa kama tiara mbili kila upande hivyo injini inavyosukuma ndege mbele ile nguvu ya kusukuma juu (up lift ) inayotokea kwenye mabawa inasukuma ndege kuelekea angani.

Mwambie mtoto akikua na kusoma kwa bidii ataelewa sababu. Atakuwa na motisha ya kusoma kwa bidii.
 
Mkuu tuna tatizo moja, niliipenda sana Physics, bado naipenda na ntaendelea kuipenda, ila Chemistry nilifaulu form four kwa sababu tu ya kua na mwalimu mzuri.

Tatizo kwenye hili swali kama ni mtoto kauliza jibu lake inabidi lisiwe la kitaalam lakini liwe la kueleweka kwa uwezo wake na kiwango cha ufaham wake.

Poa poa poa imedondoka penyewe
 
Tafuta uzi unaosema maswali na majibu jinsi ndege unavyofanya Kazi, kila kitu kimeelezwa humo na wadau wa mambo ya ndege ambao ni member wa jf
 
Back
Top Bottom