GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Kula ndizi mshare, chakula ghali kuliko mchele ni umaskini? Labda kama unamaanisha kinyume chake!Haya matoke mshare mnayependeaga nn madude magumu Kama nn.ndizi bukoba is the best hata kibogoyo anakula vzuri tu.kula ndizi Kama lunch au dinner ni dalili namba moja kuu ya umaskini.Over