Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Kusoma ni hiali sio kuladhimishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waheshimu baba na mama yako kwanzaWajumbe Wazima?
Ni yuleyule Mr. Liverpool from Anfield..!!
Chaputa?Wajumbe Wazima?
Kugoga mbunye haina uhusiano wowotee na kuoa..Chaputa?
Huu msemo mbona ni mgumu sanaa kwa walioa ila ma single huku kazini mbona tunarudi sanaa Shule?Kusoma ni hiali sio kuladhimishwa
Kuna mida ikifika ndoto zako zinakua chini ya mikono yako.Waheshimu baba na mama yako kwanza
....ni jini fulani hivi ambalo ukikubali likutawale lina ua ndoto zako zoteee.Ndoa
Ukioa/kuolewa na kisha ndoto zako zisitimie, jibu jepesi nikwamba umeoa/olewa na mtu ambae sio sahihi kwenye maisha yako...[emoji2955]
Kusoma ni hiali sio kuladhimishwa
1. Kama pesa ni ndogo, KWANINI UOE?Hao jamaa zako ukifikiria vizuri zaidi utagundua ni pesa ndogo walizopata zimezima ndoto zao wala sio ndoa iyo wanaisingizia tu.
Mkuu kujiendeleza kielimu ni ama uwe na nidhamu ya mipango au ulazimishwe na maisha, tofauti na hapo ni ngumu sana.
Niliacha ulevi "wakulima wa ngano" watauza wapi ngano yao?Mleta mada naona umeiva katika masuala ya mahusiano ebu mods mpeni blue tick kabsa huyu kijana wangu.Hakika elimu yako inakusaidia sana even though uache ulevi hahaha
HahahaaNiliacha ulevi "wakulima wa ngano" watauza wapi ngano yao?
Na wale ma baamedi je? Watapata wapi Kazi nyengine?
Tuendelee kupiga bia.
#YNWA