Kwanini ndoa za sasa nyingi zinafungwa na ujauzito, nini shida?

Kwanini ndoa za sasa nyingi zinafungwa na ujauzito, nini shida?

Vijana tunaogopa kuuziwa mbuzi Kwenye guniaa maana unakutana na Binti ana miaka 27 Toka akiwa na miaka 18 kashajua aina za d*d* tofauti na hapo kati kashachomoa mimba kama 2 hv .hvyo hakuna budi kijana akikutana naye atest mitambo yake naye ipo au ndio zile mimba Binti alitoa ziliondoka na kizazii[emoji23]
Hili ndio jibu.

.......
 
Kuna zile mimba za miezi saba mtoto ni hatari sana mwanaume unaweza kimbia nyumba kwa aibu.
 
Nimejaribu kuwaza ndoa za enzi zetu

Hivi majuzi nilihudhuria ndoa 3

Kila ndoa mdada kabakisha kama mwezi kujifungua hii waliweka mpaka na ambulance na nurse ikitokea emergency

Mwingine jumamosi iliopita huyu afadhali kitambi kilikuwa si kikubwa sana

Mwingine huuu dah mpaka nilikuwa naogopa kumwangalia mwili mkubwa na mbele ana exp wiki kadhaa kjjifungua dah

Sijajua nini shida kwani kuolewa lazima mpeane maimba kwanza??

Unajua mtoto n wa Mungu..unaweza zini ukiona Mimbaa unaazimisha ndoa..baada ya ndoa akachukua chake

MUNGU Akusaidie ukaolewe ukiwa safi bila Mimba ukaheshimikee milleleee

Amen
Waolewaji wana wasiwasi sana na wanaume, wanaume wengi ni mashoga kwahiyo wanawake wanajaribisha kama wanaume zao wanawea tungisha mimba.

Wanaume wanywa pombe na wenye vitambi , wengi mnaona wanava pensi na flana huku kitambi kikininginia wengi wao uume unakuwa mfupi, mbegu hazina ubora na mostly wanatoa mapovu ambayo hayawezi rutubisha yai la mwanamke.
 
Sema hii dhana ya 'kutest mitambo' naona kama ni mbaya, possibility zote mbili(anaweza apate mimba, au asipate) tayari unazijua,

Kwanini uje utest mitambo kama kigezo cha kuoa, ina maana tokea mmekutana mpaka mkakubaliana kuwa wapenzi mlipendeana nini?

Au wewe mwanaume chukulia mwanamke anakuacha kwasababu huwezi zalisha, kwa sababu hiyo tu. Ni vizuri?

Kupata mimba inapaswa iwe matokeo tu ya kushtukiza....
Ndgu hyo sababu unaiona Ni ndogo kuachwa ukiona amekuvumilia Ni huruma yake
 
Back
Top Bottom